Uganda ni nchi ya
Afrika ya Mashariki. Inapakana na Kenya upande wa mashariki, Sudan Kusini
upande wa kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi,
Rwanda na Tanzania upande wa kusini. Uganda inamiliki sehemu ya ziwa la
Viktoria . Uganda ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki .
Mji mkuu |
Kampala |
Mji mkubwa nchini |
Kampala |
Lugha rasmi |
Kiingereza / kiswahili |
raisi wa nchi |
Yoweri Musefeni |
fedha |
Shilingi ya Uganda |
Kupata uhuru |
Kutoka uingereza 9 / 10 / 1962 |
Idadi ya wakazi |
Takriban milioni 37.8 |
Dini |
Ukristo 84.5% Uislamu 13.7% Dini za kiafrika 1.8% |
Baadhi ya Maeneno ya kitalii |
Timu ya soka ya taifa ya Uganda
Timu
hii ina lakabu “The Cranes”, timu ya soka ya taifa ya Uganda ilianzishwa mwaka
1924. Kocha mkuu
wa timu ya soka ya taifa ya Uganda ni Milutin Sredojevic.
-
Uganda ilipata fursa ya
kushiriki katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mara tano : 1962 – 1968 – 1974 –
1976 – 1978.
-
Wachezaji wa timu ya soka ya
taifa ya Uganda :
Golikipa |
Denis
Onyango Jamal
Salim Robert
Odongkara |
Beki
|
Denis Iguma Godfrey Walusimbi Isaac Isinde Joseph Ochaya Murushid Juuko |
Kiungo
|
Geoffrey
Kizito Hassan
Wasswa Khalid
Aucho Micheal
Azira Moses
Oloya Shafik
Batambuze Tony Mawejje |
Washambuliaji
|
Abraham
Ndugwa Emmanuel
Okwi Farouq
Miya Geoffrey
Sserunkuma Geofrey
Massa Luwagga
Kizito Yunus
Sentamu |
Comments