Shirikisho la soka la Afrika (KAF) limefanya kura ya fanali za michuano ya mataifa ya Afrika 2021
Matokeo ya kura kama yafuatayo :
Raundi ya kimandalizi :
Liberia dhidi ya Tchad
Sudan Kusini dhidi ya Shelisheli
Mauritius v. Sao Tome
Djibouti dhidi ya Gambia
Matokeo ya makundi :
kundi la kwanza : Mali - Gine - Namibia - Mshindi wa mechi ya Liberia na Tchad katika Raundi ya kimandalizi .
kundi la pili : Malawi - Uganda - Burkina Faso - Mshindi wa mechi ya Sudan Kusini na Shelisheli katika Raundi ya kimandalizi .
kundi la tatu : Sudan - Afrika Kusini - Ghana - Mshindi wa mechi ya Mauritius na Sao Tome na Principe katika Raundi ya kimandalizi
kundi la nne : Angola, Gabon na Jamhuri ya Kongo ya Kidemokrasia .
kundi la tano : Mauritania - Afrika ya Kati - Morocco - Burundi
kundi la sita : Msumbiji - Cape Verde - Cameroon - Rwanda
kundi la saba : Togo - Kenya - Misri - Comoros
kundi la nane: Zimbabwe, Zambia, Algeria, Botswana
kundi la tisa : Guinea-Bissau, Kongo, Senegal, E. Swatini
kundi la kumi : Tanzania - Libya - Tunisia - Guinea ya Ikweta
kundi la kumi na moja: Madagascar, Niger, Ivory Coast, Ethiopia
Kundi la kumi na mbili : Sierra Leone - Benin - Nigeria - Lesotho
na pia Shirikisho
la Soka la kiafrika (KAF) , ilitangaza uainishaji wa timu kabla ya kuraa ya finali
ziazokufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2021, Ambayo imepangwa kufanyika kameruni.
Misri
ilikuja na Algeria, Moroko, Tunisia, kameruni, Burkina Faso, Senegal, kodivaa,
Ghana, Mali, Nigeria na Jamhuri ya Kongo ya Kidemokrasia.
Shirikisho
la Soka la Afrika (CAF) limefanya i kura
ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2021 , leo ,Alhamis.
Uainishaji
wa kwanza
Algeria -
Burkina Faso - kameruni - kodivaa - Misri - Ghana - Mali - Moroko - Nigeria -
Jamhuri ya Kongo ya Kidemokrasia - Senegal - Tunisia
Uainishaji
wa pili
Benin - Cap
Verde - Jamhuri ya Kongo - Gabon - Ginea - Kenya - Libya - Mauritania - Niger -
Afrika Kusini - Uganda - Zambia
Uainishaji
wa tatu
Angola -
Afrika ya Kati - Gine Bissau - Madagaskar - Malawi - Msumbiji - Namibia -
Sierra Leone - Sudan - Tanzania - Togo - Zimbabwe
Uainishaji
wa nne
Burundi -
Botswana - Comoros - Ethiopia - Swatini - Guinea a Equator - Lesotho - Rwanda
Uainishaji
wa Tano
Chad -
Djibouti - Gambia - Liberia - Mauritius - Sao Tome - Seychelles - Sudan Kusini
Comments