Wakati wa mapokezi yake kwa wahariri na waandishi wakuu wa wa Vyombo vya Habari wa kiafrika : Waziri wa Mambo ya Nje anasisitiza shime ya Misri kwa kuimarisha jitihada za maendeleo ya kina katika bara

Waziri wa Mambo ya Nje Sameh shoukri alipokea ujumbe wa wahariri na waandishi wa habari wa vyombo vya habari wa Kiafrika wakati wa ziara yao kwa Misri  sasa  kama sehemu ya mpango wa kila mwaka ulioandaliwa na Shirikisho la kimisri kwa Ushirikiano wa Maendeleo , Wizara ya Mambo ya Nje kwa ndugu za Kiafrika.Mkutano ulijadili idadi ya masuala ya kipaumbele katika bara la kifrika zote katika Nyanja mbali mbali kama masuala ya amani, usalama na maendeleo.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Mshauri Ahmed Hafez alisema kuwa Waziri wa Mambo ya Nje alianza mkutano kwa kuwakaribisha wahariri na waandishi wa habari wa vyombo vya habari wa kiafrika katika nchi yao ya pili, Misri, kuthibitisha uhusiano wa kihistoria kati ya Misri na ndugu wa kiafrika.

Waziri Shukri alisema kuwa ziara yao ya Misri inakuja katika mfumo wa mpango wa kila mwaka ulioandaliwa na Shirika la Misri kwa Ushirikiano wa Maendeleo ili kuwasiliana na wahariri na waandishi wa habari wa vyombo vya habari wa kiafrika ili kukuza jukumu la Misri katika bara na nafasi za ushirikiano na nchi za kiafrika katika nyanja mbalimbali.

Alielezea kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ameangalia matokeo ya mkutano wa hivi karibuni wa Umoja wa Afrika uliofanyika huko Niamey,akaishiriea kwamba Uzinduzi wa muhula ya uendeshaji wa eneo la Afrika-Afrika la Biashara Huria, na masuala ya amani na usalama, hasa maendeleo ya Libya na Sudan, pamoja na jitihada za kupambana na ugaidi na msimamo kali..

pia Waziri wa Mambo ya Nje alisisitiza umuhimu wa kazi ya kushirikiano pamoja yakiafrika,na kutafuta ufumbuzi kwa matatizo za kiafrika na kuanzisha fursa za kawaida za Afrika ili kukabiliana na changamoto za kibara.

Na kuhakikisha malengo yake, na malengo ya Ajenda ya Maendeleo ya kiafrika 2063, Pamoja na haja ya kufaidika na faida ya kulinganisha ya kila nchi ya Afrika ili kufikia ushirikiano wa kiuchumi, akibainisha umuhimu wa kuwawezesha wanawake na kuanzisha nafasi yao katika jamii za Kiafrika.

Kwa upande mwingine, washiriki walimsifu ukarimu na maandalizi mazuri ya kozi, na kusifikia jukumu la Misri katika kuimarisha maendeleo katika bara la Afrika, akielezea jitihada za Misri za kukuza kazi ya ushirikiano pamoja na Afrika kwa njia ya uraisi wake wa Umoja wa Afrika mwaka 2019.

خلال استقباله وفد رؤساء التحرير وكبار الإعلاميين الأفارقة:

Comments