Ni nchi ambayo ipo
kaskazini mwa Afrika. Inapakana na Bahari ya Kati pande zake mbili za kaskazini na
mashariki.Inapakana na Libya (km459) upande wa kusini mashariki.Inapakana na
Aljeria (km965) kwa upande wa magharibi.Na mji mkuu wake ni mji wa Tunisia.
Ukubwa wa
eneo lake ni kilo mita mraba 163,610.
Tunisia imetoa mchango muhimu katika
historia ya zamani tokea zama za Wafinikia, Kabila la Amazighi,Wakazi wa
Kartwaji na EL-wandaliin.
Tunisia ina
mahusiano imara na ya kihistoria pamoja na Marekani na Umoja wa Ulaya (EU).
vile vile ina
mahusiano pamoja na Fransa hasa kwa sababu ya mashirikiano ya kiuchumi.Lugha
zake rasmi ni lugha za kiarabu na kifaransa.
Timu yak:
NI maarufu kwa jina la Vipungu wa Kartwaji.
Inazingatiwa kuwa ni mwakilishi rasmi wa mpira wa miguu wa kitunisia mwaka
1956.Imejiunga na shirikisho la kimataifa wa mpira wa miguu mwaka 1960.Aidha
inazingatiwa kuwa ni timu ya kwanza ya
kiafrika iliyofuzu michuano ya ligi kuu ilipoishinda EI-maksik katika kombe la
dunia mwaka 1978.
Wachezaji wa
timu ya soka ya taifa ya Tunisia :
Farouk Ben
Mustapha Mouez Hassen |
Golikiba |
Ali Abdi Ali Maaloul Dylan Bronn Hamdi Naguez Oussama Haddadi Rami Bedoui Slimane Kchok Syam Ben Youssef Walid Karoui Yassine Meriah Yohan Benalouane |
Beki |
Ahmed Khalil Bassem Srarfi Bilel Saidani Ellyes Skhiri Ferjani Sassi Ghailene Chaaleli Mohamed Amine Ben
Amor Mohamed Drager Naim Sliti Saifeddine Khaoui Yassine Chikhaoui Zied Ounalli |
kiungo |
Anice Badri Fakhreddine
Ben Youssef Firas
Chaouat Saber
Khalifa Wahbi Khazri |
Washambuliaji |
Comments