Kwa upande wa michuano ya Mataifa ya Kiafrika ... nyota za( legends) soka la kiafrika Katika ziara ya Hospitali ya Abu El - Rish

Tume iandaayo ilitangaza jambo la kusanya nusu milioni moja kwa hospitali ya Abu Elreesh kulingana na mpango wa kucheza kwa ajili ya ujumbe fulani.

 

Athari ya Soka hufikia Ulimwengu wote, kwa hivyo tume iandaayo ilizingatia kunufaika toka umaarufu wa kimataifa wa Kombe la mataifa ya kiafrika ili kutoa ujumbe wake katika mpango fulani ulioanzishwa kwa kutoa pesa bure kwa hospitali ya Magdy Yakoub kwa maradhi ya Moyo na sasa hospitali ya Abu Elreesh.

 

Na Muhamed Fadl "Mkurugenzi wa michuano" Leo Ijumaa alitembea hospitali ya Abu Elreesh kama naibu wa tume iandaayo na rais wake Hany Abu Rida.

 

Na Fadl  ambapo hali za kufurahisha alipeleka zawadi kadhaa kwa watoto na aliongeza " Tume iandaayo daima inalenga kutoa ujumbe wa kijamii katika mechi za Kombe la mataifa".

 

Na aliendelea " Furaha ya watoto kwa ziara ya leo pamoja na kuwepo kwa wakubwa wa Afrika inathibitisha mafanikio bora kwa Soka".

 

Na ziara hii ilihudhuriwa na wakubwa wa Soka ya kiafrika nao ni kama Nowanko Kano,  Daniel Omakashy, Khalilo Fadiga, na Kalusha Boalia.

 

Kila mchezaji alisimulia kisa chake cha mafanikio kwa watoto ili kuwahimiza na waliwapeleka zawadi zao.

 

Mbebaji wa Mpira

Na Mhandisi Hany Abu Rida aliamua kwamba atakayebeba Mpira wa kuingia timu mbili za mechi ya mwisho kwa Kombe la mataifa ya kiafrika atakuwa mtoto  mmoja wa hospitali.

 

Na Fadl alieleza kwamba " juhudi hii kwa ajili ya kuwepo kicheko katika nyuso za watoto ilitokea toka wote, asanteni kwa Mhandisi Hany Abu Rida, Mhandisi Ahmed Megahed na Muhamed Kamel kwa mchango wao wa kusanya pesa.

 

Na alisisitiza " asante sana kwa Mhandisi Hany Berzy " Mkuu wa shirika la Edita " kwa ajili ya kusanya pesa, na Bwana Ahmed Samy " Naibu wa mkuu na meneja wa uenezaji

Comments