Umwagiliaji "hutoa mfululizo wa filmu za dokumentari (Filamu za uchuguzi) kuhusu bara la Afrika

Wizara ya  vyanzo vyaMaji na Umwagiliaji, iliyoongozwa na Dokta Mohamed Abdel Ati, imetangaza utoaji wa mfululizo wa  filmu za dokumentari kwenye nchi zote za  bara la Afrika. wizara Kupitia kuonyesha kwa filamu ya  kwanza kuhusu nchi wa Zambia,ilifafanua  kwamba filamu fupi hazizidi dakika 5 zina habari zinazohusu bara la Afrika, chini ya kichwa "jua Bara lako.  "

 

iliashiria kuwa lengo la utoaji wa filamu hizi ni kuonyesha matatizo ya maji yanayowakabili nchi zote za bara jeusi , na uwezekano wa kuyatatua , na Rasilimali zinazomilikiwa kwa kila nchi, ambazo zitasaidia kuyatatua  matatizo hayo.



Comments