Mpango wa kuimarisha na kuamsha utalii wa kimazingira katika bonde jipya chini ya kauli mbiu "Kuchunguza Misri Yako 2030 (Explore Your Egypt 2030) ‘’
- 2019-07-22 14:49:44
Wizara ya
Vijana na Michezo ilizindua muhula ya pili ya mpango wa kuamsha na kuimarisha
utalii wa kimazingira katika mkoa wa bonde jipya kwa ushirikiano na Wizara ya
Nchi kwa Mambo ya Mazingira, umoja wa
abiri ya kimechezo na timu
egy_camp , kwa lengo la kufanya kazi ya kuimarisha siasa ya ushirikiano kati ya washiriki 2500
wa vijana kutoka ndani na nje ya Misri katika maeneo na Nyanja zenye uso wa
kiustaarabu, Kuendeleza maadili mazuri na kukuza dhana ya Uraia wao .
Mpango unatekelezwa ndani ya mfumo wa kuhakikisha
malengo ya mtazamo ya Misri 2030
kupitia kuonyesha tabia za utalii, historia na
utamaduni wa sehemu mbalimbali za jamhuri.Inaendeleza utamaduni wa kushiriki
katika maisha bora, kuendeleza roho ya kushangaza na kufurahisha, utaratibu
mzuri na ujuzi na historia ya ustaarabu wa Misri na kuendeleza hisia ya wajibu
na umuhimu kati ya vijana.
Mpango
unajumuisha shughuli kadhaa na mafunzo ili kuongeza matumizi ya rasilimali za
binadamu na kutumia nguvu zao katika maendeleo na ukuaji , na kuimarisha utalii
na kuurudisha kwa nafasi yake ya asili juu ya nchi kuvutia utalii kwa njia ya
shughuli za burudani zinazoendeshwa katika maeneo, barabara na maeneo na vituo
vya kale na asili.
Ni muhimu
kutajwa kuwa muhula ya kwanza imetekelezwa katika hifadhi za asili na vituo vya
utalii ndani ya Jamhuri ya Misri ya Kiarabu, miongoni mwa Malengo ya
muhula ya pili ni kutoa programu nyingi
za ubunifu ili kufanya maeneo ya
kiutalii ya kimazingira ni kama mahali pa
utalii, wa Kiarabu na ya kimataifa, kukuza utalii wa kimazingira kupitia
shughuli mbalimbali ndani ya hifadhi za asili na maeneo na vituo vya kale na
kutekeleza kampeni ya kitaifa kwa kusafisha na kuipamba pwani za bahari.
Comments