Algeria ni nchi kubwa kuliko zote za Afrika lakini sehemu kubwa ya eneo lake iko katika jangwa la Sahara.
Jina la nchi limetokana na mji mkuu unaoitwa kwa jina lile lile "al-jaza-ir" kama nchi ya leo kwa lugha ya Kiarabu.
Wakazi wengi wana mchanganyiko wa damu ya Kiarabu na ya Kiberber na wachache ya Kituruki na ya
Kiberber.
Lugha rasmi ni Kiarabu (72%) na Kiberber (27-30%), lakini wengi sana
wanaongea pia Kifaransa
Shirikisho la Soka la Algeria lilianzishwa
mwaka wa 1962 na kujiunga na Shirikisho la Kimataifa miaka miwili baadaye , ni
nchi ya Kiarabu na Kiafrika ambayo uko Kaskazini mwa Afrika , yenye msimamo maarufu
juu ya jukwaa ya soka ya Afrika.
Timu hiyo ilishinda Kombe la kimataifa la kiafrika
kwa mara ya kwanza mwaka wa 1990 nyumbani dhidi ya timu ya Ngeria "Eagles
Green" na katika mwaka 1984 ilipata nafasi ya tatu
kitika michuano hiyo hiyo baada ya kufunga timu ya Misri 3-1 .
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Aljeria:
Golikipa |
Azzedine
Doukha Moustapha
Zeghba Rais
Mbolhi |
Beki |
Aissa
Mandi Djameleddine
Benlamri Mehdi
Jean Tahrat Mohamed
Fares Rafik
Halliche Ramy
Bensebaini Youcef
Attal |
Kiungo |
Adam
Ounas Adlene
Guedioura Ismael
Bennacer Nabil
Bentaleb Rachid
Ghezzal Slaiti
Saphir Taider Sofiane
Feghouli Yassine
Benzia |
Washambuliaji |
Oussama
Darfalou Baghdad
Bounedjah Ishak
Belfodil Riyad
Mahrez Yacine
Brahimi |
Comments