Waandishi wa habari wa Kiarabu na Waafrika kwa Waziri wa Michezo: mlivutia watu wote na tunaishukuru Misri kwa utaratibu mzuri na mapokezi

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo aliwakutana na idadi kubwa ya waandishi wa habari wamisri, Waarabu na Waafrika wakati wa ziara yake ya kuangalia  kituo cha waandisi wa habari kwenye uwanja wa Kimataifa wa Kairo kabla ya sherehe ya kufunga Kombe la Mataifa ya kiafrika  2019.

Wakati wa ziara yake kwa kituo cha waandishi wa habari, idadi kubwa ya waandishi wa habari, wataalamu wa vyombo vya habari na wapigaji picha katika idhaa za kianga za kimisri, Kiarabu na kiafrika zinathibitisha upatikanaji wa uwezo wote wa vifaa, kiufundi na kiutawala muhimu kwa  kutekeleza majukumu waliyopewa ili kufunika vyombo vya habari kwa matukio yote ya mashindano hasa kuliangana na sherehe ya kufunga na mechi ya mwisho.

Waziri wa Michezo pia alipokea shukrani ya waandishi wote na waandishi wa habari waliopo katika kituo cha waandishi wa habari, hasa Waarabu, Waafrika na wageni, ambao walionyesha shukrani zao kwa Misri kwa kuandaa ajabu kwa mashindano na ukaribishaji wa wajumbe kutoka nchi mbalimbali za bara la kiafrika.

Pia walisisitiza kwa Waziri wa Vijana na Michezo kwamba waliburudisha katika Kipindi cha kukaa huko Misri wakati wa kipindi cha michuano hiyo

Na walifanya ziara nyingi za kiutalii na kiburudani kwa na miji ya pwani na kiutalii , wakisema kuwa watafanya taarifa za vyombo vya habari maalumu kwa njia ya vyombo vya habari vya ndani katika nchi zao kuhusu hali ya Misri, utamaduni wake na uwezo wake wa kuandaa na ukaribishaji wake kwa wageni kutoka duniani kote pamoja na maeneo ya utalii na maeneo ya kale na waliburusisha wakati wa kukaa huko Misri .

Katika muktadha huo , Chama cha Waandishi wa Habari wa Kimataifa (AIBS), kilichoongozwa na mitalia Gianni Merlo, kilituma barua ya shukrani kwa Dokta. Ashraf Subhi, Waziri wa Vijana na Michezo, kwa jitihada kubwa zilizofanywa ili kutoa fursa zote za kufanikiwa kwa uandishi wa habari wa matukio yote ya michezo yaliyofanyika huko Misri.kusisitiza juu  Ushirikiano wakati wa zamani ijayo

Comments