Waziri wa Michezo anawakutana na Rais wa Shirikisho la kimisri kwa mpira wa mikono na Mkurugenzi wa Michuano ya Dunia na amesifu matokeo ya timu ya kitaifa ya vijana

Waziri wa Vijana na Michezo Dokta. Ashraf Sobhy aliwakutana na Mhandisi Hisham Nasr, Rais wa Shirikisho la  kimisri kwa mpira wa mikono  , na Kapteni Hussein Labib, Mkurugenzi wa Kombe la Dunia kwa mpira wa mikono 2021, kwa kutafiti maandalizi ya Kombe la Dunia yampira wa mikono  itakayokaribishwa huko Misri.

Waziri wa Michezo alisisitiza kwamba  Misri imekuwa ina miundombinu ya kimichezo  sasa , ambayo zimefanya misri ni moja ya nchi zinazovutia zaidi duniani kwa matukio ya kimichezo.

Sobhy aliomba bodi ya  umoja wa mikono kufanya juhudi zaidi ili kudhaminisha sura ya timu ya kitaifa ya Misri inaonekana kwa mjia inayofaa wakati wa mashindano ya michuano ya dunia,Na alibanisha kuwa wizara itatoa uwezo wote wa kifidha , maadili na vifaa ili kuandaa timu inayostahili jina na sifa ya Misri.

Waziri wa Vijana na Michezo Dokta. Ashraf Subhi alisifu matokeo ya timu ya vijana kwa mpira wa mikono ,ambao timu yetu ya kitaifa iliendelea kushinda kwa mchezo wa nne mfululizo, baada ya kushinda juu ya  Korea ya Kusini  kwa matokeo 38-36 katika mechi iliyofanyika Jumamosi katika mzunguko wa nne wa raundi ya makundi.

Imetajwa kwamba timu ya kitaifa ya Misri itacheza mashindano ya Kombe la Dunia katika toleo la 22 kwa vijana wa mpira wa mikono , imeyokaribishwa huko Hispania wakati wa kipindi cha Julai 16 hadi 28.

Comments