Mwenyekiti wa baraza kuu la udhibiti wa vyombo vya habari: Rais El-Sisi ameelekezwa dira ya uangalifu wa Misri kwa bara la Afrika.

Mwandishi wa habari Makram Mohamed Ahmed ,mwenyekiti wa baraza kuu la udhabiti wa vyombo vya habari, siku Jumapili amesisitiza kuwa Rais Abdfattah El-Sisi ameelekezwa dira ya maslahi ya Misri kwa Afrika tangu amechukua madaraka yake,na ni jambo la kawaida ambalo linasisitiza juu ya  uhusiano wa Misri  na Fahari yake wa mizizi yake kiafrika.

 

Makram amependezwa kwa mkataba  wa biashra huru  ya  kiafrika wakati wa mkutano wake na idadi ya wahariri wa magazeti ya Afrika Katika makao makuu katika Masbiro na akisema kuwa “mktaba huu amewakilishi kilele wa ushirikiano na muungano kati ya nchi za bara”akieleza kuwa Misri ambayo inaongoza Umoja wa Afrika mwaka huu imefanya bidi kubwa ili kuunganisha nchi za bara na muungano kati ya nchi za kaskazini,kusini,mashariki na magharibi.

 

Na katika ngazi ya vyombo vya habari ,,mwenyekiti wa baraza kuu la udhabiti wa vyombo vya habari amesema kuwa baraza linafundisha mamia ya waandishi wa habari na mwanahabari kila mwaka bila kutofautisha kati ya nchi zao au makundi ya kikabila.akiongeza kuwa idadi ya washiriki wa Afrika katika baraza lina Zaidi ya 4000 kutoka nchi zote za Afrika.

Ameashiria kuwa baraza litawasilisha mapendekezo kwa rais El-Sisi  ili kuanzish kituo cha runinga kinachozungumza kwa jina la bara na kinajadiji masuala yake na  kuunganisha nafasi yake.akisisitiza kuwa mapendekezo huyo yenye umuhimu maalumu katika uongozi wa kisiasa nchini misri  chini ya maslahi ya kuunganisha mahusiano na nchi za afrika,na tamani halisi ya kufikia ukuaji unatrajiwa wa bara nzima.

Comments