KAF inatangaza kura ya finali ya Afrika zitakazofikia Kombe la Dunia 2022

Shirikisho la soka la kiafrika (KAF) limetangaza tarehe ya kura ya finali ya Afrika zitakazofikia Kombe la Dunia  2022 huko Qatar.

kura itafanyika Jumatatu ijayo, 29 Julai katika makao ya KAF nchini Misri.

Mfumo wa fainali za kufikia kwa Qatar 2022 hautakuwa kama fainali za 2018 katika Urusi.

Fainali zitazofanyika katika hatua tatu , Hatua ya kwanza inajumuisha "Raundi ya kimandalizi” kwa timu 28, baada ya msamaha wa  timu 26 za  juu , kulingana na Shirikisho la Soka la Kimataifa.

 

Timu za juu 14 katika uainishaji miongoni mwa timu 28 zitashiriki katika Raundi ya kimandalizi

 

  mechi mbili za kwenda na kurudi katika Raundi dhidi ya timu nyingine 14,linalopaswa kufanyika

mechi ya kwanza kwenye uwanja wa timu mwenye nafsai ya chini katika uainishaji.

Timu 14 kutoka Raundi ya kimandalizi hujiunga na timu  26 katika raundi ya kundi, zimegawanywa katika kundi 10, kila kundi lina  timu 4.

kura ya Raundi ya kundi itazingatia mgawanyiko wa timu 40 kwenye viwango vinne, kulingana na uainishaji wa FIFA, na kila kundi litajumisha timu  moja kutoka  viwango vyote.

Timu10 za juu  zitagawanywa katika viwango viwili kulingana na uanishaji wa FIFA katika kila mwezi , Timu za juu tano zitacheza kulingana na uainishaji pamoja na moja ya timu za chini zaidi, na mechi ya kwanza itafanyika kwenye ardhi ya timu mwenye uainishaji wa nafasi ya chini

Comments