" Paka
kali"... hakupata lakabu hii bure,
basi yeye alizembea vikwazo vya kiutamaduni vinavyoufanyika mchezo wake ni kwa
wanaume tu, naye alikuwa msichana mmisri mwarabu mwaafrika wa kwanza awe
maarufu duniani katika uwanja wa michezo kail " Taycondo".
Jina lake ni
Karolin Amazis Maher Yousry, ana miaka
32, alipata medali 130 katika mashindano ya kimataifa, kikanda, na kiarabu,
ambapo alishiriki katika mashindano kwenye nchi 40 tofauti, naye alikuwa
mchezaji mmisri, mwarabu, na mwaafrika aliyeheshima kwenye jumba la watu
maarufu kwenye Marekani.
Alianza
kucheza mchezo wa Taycondo ambapo alikuwa na miaka 10, na hiyo ilitokea ghafla
ambapo alikuwa akingoja mwenzake mnamo mazoezi yake katika klabu ya Elsed, naye
aliupenda mchezo na aliamua kuujaribu nakuucheza.
Naye
anaongeza kwamba yeye kwa kweli alianza kucheza mchezo huu, na baada ya mazoezi
yaliyoendelea kwa miezi miwili, alisafiri pamoja na timu ya wachezaji changa
kwenye klabu ya Elsed ili kushiriki katika michuano ya Ujerumani naye alipata
medali ya kifedha, akiashiria kwamba uchezaji wake kwa mchezo huu haukumfanya
kuzembea masomo yake bali yeye alifaulu vizuri basi yeye alijiunga chuo kikuu
katika mwaka wa 2004, na alipata faida toka Udhamini wa kimasomo unaotolewa
toka chuo kikuu kwa mabingwa wa kimichezo waliohakikisha mafanikio makubwa kwa
Misri, naye alifanikiwa katika chuo kikuu kwa kiwango cha masomo na michezo
kama mwanachama wa timu ya chuo kikuu cha Taycondo, alipata cheti cha Uandishi
na vyombo vya habari toka chuo kikuu cha
2009 pamoja na heshima, pia
alipata cheti cha masomo ya juu ya Urasiliamali toka chuo kikuu cha
Victoria kwenye Uswezi, pamoja na usimamizi wake wa jumuia inayolenga
kuwasaidia walemavu.
Karolin
alishiriki katika mashindano na michuano kadhaa na alipata medali 130 miongoni
mwao ya kidhahabu, kifedha, naye aliacha mchezo huu baada ya tangazo la uamuzi wa kijamhuri kutoka Rais
Abd Elfatah Elsisi kwa kumwainisha katika Bunge ya kimisri, miongoni mwa
kiwango kilichoainishwa kwa Rais katika Disemba 2015 ili kuwa mwanachama mdogo
zaidi kwa umri wake, ambapo wakati huu alikuwa mwenye miaka 29.
Na miongoni
mwa wanawake 30 duniani, alipata heshima, alikuwa mmisri wa pekee aliyeheshima
mwaka wa 2015 mnamo sherehe ya mafanikio ya mwanamke duniani, Karolin alikuwa
na tatizo kubwa lililokaribia kuharibu mustakbali yake wakati ambapo aina yake
ya uchamuzi ilibadilika mnamo mwaka wa 2011, na ilithibitisha kwamba yeye ana
hermoni za Ume, naye alifanya kesi mbele ya mahkama ya kimataifa, na mahkama
ilihukumu kwa upande wake baada ya kuhakikisha kwamba aina ile si sahihi.
Na Karolin akiendelea kwamba yeye alitumia
kuwepo kwako ndani ya Bunge ya kimisri naye alitoa miradi muhimu kwa wasichana
wa jinsia yake, miongoni mwao ni mradi wa sheria khasa kwa uhalifu na wizi wa
watoto na uliidhinishwa kwa kweli, na
mradi wa pili hujadiliwa hivi sasa nao unazingatia watoto wa Ulezi na vimbilio
, wakati ambapo hujumuisha kutosheleza
haki kwao kama kufanya chama katika vituo vya vijana, kutosheleza Bima ya Afya
, kadi ya kimatibabu, na kuwaangalia katika elimu na kuwasaidia kujiunga chuo
kikuu
Comments