Mwakilishi wa Al_Azhar Al_sharif anapokea ujumbe wa wanahabari waafrika na pia anasistiza kwamba wanafunzi wa kiafrika wana nafasi maalumu katika moyo wa imamu mkuu .

Elsheikh (salehAbbas ) ni mwakilishi wa Al_Azhar Al_sharif amepokea ujumbe wa wanahabari wa kiafrika katika kitongoji cha AlAzhar,kwa hivyo katika mraba wa ushrikiano pamoja na (wakala wa Misri wa ushirikiano wa maendeleo ) miongoni mwa mpango  wa (vyombo vya habari na mandeleo endelevu ).          

 Mwakilshi wa Alazhar Alsharif amewasilishia ujumbe huo salamu za imamu mkubwa Dokta (AhmedElTayp) sheikh Alazhar Alsharif mwanzoni mwa mkutano ,na pia imamu mkuu Dokta (AhmedEltayp) alizingatia mawasiliano endelevu kati ya Alazhar Alsharif na nchi zote za kiafrika ,husuan chini ya uongozi wa misri kwa umoja wa kiafrika katika kikao chake cha Kisasa .

na Shehe Saleh alisisitiza juu ya mchango wa Misri na AlAzhar katika kueneza urahisi na uadilifu katika pande zote za bara la kiafrika na ulimwengu wote, na kupambana Ugaidi na msimamo mkali, akisema kwamba: Misri, Al Azhar na Afrika ni kitu kimoja kinachounganisha pamoja na haiwezekani kukizembea, akiashiria mchango wa Mfuatiliaji wa Al Azhar wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na msimamo mkali na Ugaidi katika kuchunga dhana zenye makosa  na kuzijadiliwa kupitia idadi ya wataalamu , na kueneza sahihi ya dini kwa lugha nyingi, kwa ajili ya kuhifadi vijana toka kufuata mawazo yenye ukosefu.

  Mwakilishi wa Alazahr Alsharif ameshiria ,kuwa wanafunzi wa kiafrika wana nafasi maalumu kati ya alazhar wanapata umakini mkubwa kati ya wanachama wote wa alazhar na juu yao ni wema wa imamu mkuu aliyetoa maamuzi kadhaa yenye athari kwa wanafunzi wanaokuja ambayo ni muhimu zaidi :uamuzi ulizidishwa misaada iliyotelewa kwa alazhar kwa wana wa bara kiafrika ,na pia uamuzi wa kuanzisha bunge la wanafunzi wanaokuja ,ambalo liliaapatia wanafunzi nafasi ya kuwasiliana kwa imamu mkuu katika wakati wote .      


 Sheikh (saleh )alieleza kwamba kuna ushrikiano na kati ya alazhar alsharif na vyuo vikuu vya kiafrika ,alazhar ameanzaisha kikao kikuu cha kikanda kwa umoja wa vyuo vikuu vya kiafrika ndani chuo kikuu cha alazhar ,kama chuo kikuu cha alazhar kilipanga kwa ushirikiano pamoja umoja wa vyuo vikuu vya kiafrika matukio ya mchuano ya olimpiki ya kwanza kwa vijana vya vyuo vya kiafrika chini ya Rais ( Abdul Fattah al_sisi) Rais wa jamhuri ,na pia Imamu mkuu shekha alazhar katika mwezi wa mechi iliyopita,Akiongozea kupanga matukio ya mkutano wa ishrini wa kimataifa kwa viongozi vya elimu ya juu barani kiafrika (CoRWVIP2019) chini ya anwani (mchango wa lTaasisi za elimu ya juu katika kuimrisha mkakti wa elimu ya juu barani afrika ) ambao ulifanywa mara ya kwanza nchini misri .

Kwa zamu yao ujumbe wa wanahabari wa kiafrika umeeleza kuhusu shukru yao kwa alazhar alsharief na pia imamu mkuu Ali Hasan ,na kueleza mambo mengi yanayohusiana kwa alazhar alsharif na zamu yake mkubwa barani kiafrika ,kupitia kujibia maswali yote yalyotolewa kupitia mkutano ,kama ulisifu kwa hali ya uvumilivu ambayo wana wa jamaa ya misri wanaiishi chini ya uhhsiano kati ya alazhar alsharif ,na kanisani ya misri ambaye Betdishen alifasiri (nyumba ya familia ya misri ) na mchango wake mkubwa katika kuanzaisha utamaduni wa kuishi kwa amani kati ya wana wa nchi moja ,kama ujumbe umeeleza kwa hamu wake kwa zamu ya alazhar alsharif katika uwezo wa mwanamke katika kufanya kazi na kuhifadhi kwake juu ya kuwakilisha na kuonesha maoni yake katika maswala tofauti na kuchukua nafasi tofauti ndani ya taasisi ya alazhar alsharif .

Comments