Klabu ya Al-Ahli yatia saini saini mktaba wa ushirkiano pamoja na shirika la UNICEF kwa ajili ya kulinda haki Za watoto nchini Misri .
- 2019-07-27 15:01:44
Khaled
Murtaji mwanachama wa baraza la idara ya klabu ya Al_Ahli amesema kupitia
mkutano wa waandishi wa habari akisema (klabu ya Al_Ahli sio tu klabu ya mchezo
lakini ina zamu ya kijamii na kitamaduni na kila wakati inashiriki na jamii )
ameongeza
pia (tangu kikao chake cha kwanza kwangu pamoja Mahmoud Al -khatib ni
mwenyekiti wa klabu , kilikuwa maneno yake ya kwanza kwangu kwamba lazima
kushirikiana mashiriki ya kijamii kama shirika la UNCEF ) .
na
ameendelea pia (klabu ya Al_Ahli haizui juhudi zake kuelekea jamii ,klabu kila
wakati inaweka watoto na vijana katika orodha ya vipaumbele vyake ).
Wawakilishi
wawili wa wizara mbili za vijana na michezo na mshikamano wa jamii walihudhuria
mkutano huo .
Saini ya
itifaki hiyo inakuja kutetea haki za watoto wahitaji zaidi nchini Misri mwote .
Klabu ya
Al_Ahli imesheria kupitia tovuti rasmi kwamba inalenga kupitia itifaki hiyo
kuzaidi juhudi za kuinua uelewa wa umma kuhusu maswala mkuu ambaye yanaathiri
watoto pia miongoni afya,lishe,maendele ya utoto wa mapema ,kuwezesha wasichana
,ulinzi kutoka kwa kila aina ya dhuluma , mualike kwa haki za mtoto na kufikia
suluhisho kuhusu kupitikana nafasi ya wastani kwa wasichana na wavulana ili
kuhakiksha uwezo wao .
Bruno Maes
mwakilishi wa shirika la UNICEF nchini misri amesema kuhusu kutia saini mktaba
huo akisema :(ni kiburi kwangu kuwepo katika klabu ya Al_Ahli na kushiriki
katika tukio hili ) .
ameendelea
(sisi tunafurahi kushirkiana mikono yetu na klabu ya Al_Ahli ni klabu ya karne
barani Afrika) .
ameendelea
(shirika la UNCEF inaimrisha serekali ya misri na jamii ,na klabu ya Al_Ahli
inimrisha malengo ya shirika la UNICEF ).
amemaliza
(kiunga kwa shirika la UNICEF kwa serekali ya Misri na mpango wa pamoja ,sisi tunafurahi
kwa kuna nafasi kuunda mustakabali nzuri kwa watoto nchini Misri ).
Comments