Waziri wa vijana wa uganda :kuna mabadiliko mkubwa katika faili la kiafrika baada ya kuchukua misri uongozi wa umoja wa kiafrika .

Florence Nakual ni waziri wa vijana wa uganda amesema :(Misri kweli ameshangaza watu katika muda fupi ,ameona hii tangu kwamba timu ya uganda ilifikia aradhi ya misri ,sahili katika kila kitu na kuhami kwa ngazi ya juu zaidi ,na pia vijana wanchukua mchuano huu ,na kweli hii ni jarbio zuri sana .

 

Florence ameongeza:uganda ni nchi tofauti katika uwekazaji katika kahawa ,kahwa inazingatia  uwanja bora zaidi toka nyanja bora za uwekezaji ,nchi yetu inazingatia ni nchi ya pili barani afrika katika utengenzaji wa kahawa,na nchi ya nane dunini mwote ,kuna sahili kubwa katika taratibu maalumu za uwekezaji na karatasi maulumu .

 

(Florence)ameshiria kuwa jaribio la misri katika kuimrisha vijana na kuwazoeza kupitia taalumu ambazo zilianzishwa ni mafanikio ,hii ni alama nzuri juu ya kubadilika wazo ,na pia ameona ari kupitia ushiriki ambao ulifanyika kwa timu yetu katika (CAN 2019).

Comments