Wanariadha kadhaa wamisri walifikia michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020
hadi sasa, Wakati wa mashindano ya idadi ya Michezo ya Olimpiki wao ni kama
ifuatavyo:
1 - Heidi Adel: Mashindano ya wanawake kwa Khomasi ya kisasa baada ya
kushinda medali ya dhahabu ya kuwania mashindano ya Afrika iliyokufuzu
2 - Sherif Nazir: Mashindano ya wanaume kwa Khomasi ya kisasa baada ya
kushinda medali ya dhahabu ya kuwania mashindano ya Afrika iliyokufuazo
3 - Ahmed Zaher: mashindano katika shoti ya Risasi ya bunduki baada ya
kushinda medali ya fedha katika Kombe la Dunia " mhitimu wa kwanza
Kwa kutah kwenye ulimwengu na sio bara"
4 - Timu ya Misri kwa kuogelea : Mashindano ya utendaji ya kifundi na
timu za bure na mashindano ya utendaji wa kifundi na bure kwa wawili baada ya
uainishaji bora wa Kiafrika katika
mashindano ya ulimwengu
5 - Ali Khalaf Allah : mashindano ya mbio za mita 50 baada ya kufanikiwa
kufuzu kiwango cha A katika mchezo wa nusu ya fainali ya mashindano ya dunia sekunde 21:98
Comments