Timu ya mpira wa mikono inapata medali ya shaba katika michuano ya Dunia baada ya kushinda juu ya Ureno

Timu ya kitaifa kwa mpira wa mikono  chini ya umri wa miaka 21 iliyoongozwa na kocha Tarek Mahrous mkurugunzi wa kifundi , ilishinda Kombe la Dunia imeyofanyika huko Hispania, ambayo inamalizika leo kwa mechi ya fainali kati ya Ufaransa na kroatia.

Timu yetu ilipata nafasi ya tatu na medali ya shaba baada ya kushinda juu ya mwenzake wa Ureno 37-27.

Timu yetu ya kitaifa ilikuwa imemaliza kipindi cha kwanza mbele ya Ureno, 17 - 15, kabla ya kupanua jambo wakati wa kipindi cha pili.

Timu yetu ilishindwa kutoka timu ya Ufaransa kwa matokeo 37-35, na Ureno ilishindwa kotoka kroatia kwa matokeo 31- 28 kwenye sehemu ya mchezo wa nusu ya fainali ya masdindano ya kidunia.

Timu yetu ilifuzu kwa nusu ya fainali baada ya kushinda juu ya Norway katika robo ya  fainali kwa matokeo (29-27).

Orodha ya Timu inajumuisha wachezaji 16 wao ni : Abdulrahman Taha, Abdel Rahman Hameed, Jalal Khorshid, Abdel Aziz Ehab, Shehab Abdullah, Hassan Waleed, Saif Al Daraa, Ahmed Hisham, Ahmed Radhi, Hazem Mamdouh, Mohsen Ramadan, Mohamed Azhari, Omar Khaled “Castillo”, Omar Sami.

Timu  ilishinda mechi za raundi ya kwanza dhidi ya Australia, Nigeria, Sweden, Korea na Ufaransa, na ilifuzu kwa thumuni ya finali kama mwenye nafasi ya kwanza wa kundi la pili, kwa kuhahikisha kushinda juu ya Serbia katika thumuni ya fainali na kisha kushinda juu ya  timu ya Norway kwenye robo ya fainali

Comments