Nchi ya visiwa ambayo uko bahari ya hindi karibu na pwani ya kusini mashariki mwa Afrika.
Ambapo inaundwa kutokana na kisiwa kikubwa na kikundi
la visiwa vidogo vidogo.
Na lugha zake rasmi ni lugha za malkashiya,kifaransa pamoja na kiingereza. Mji mkuu wake ni Antananarivo.
Timu hii ni maarufu kwa jina la Barba.
Uwanja wake
mkuu ni uwanja wa mahamasina.
Pia timu hiyo ilishiriki katika mchuano wa kimataifa wa kwanza.
Nchi ya visiwa ambayo uko bahari ya hindi karibu na
pwani ya kusini mashariki mwa Afrika.
Ambapo inaundwa kutokana na kisiwa kikubwa na kikundi
la visiwa vidogo vidogo.
Na lugha zake rasmi ni lugha za malkashiya,kifaransa
pamoja na kiingereza. Mji mkuu wake ni Antananarivo.
Wachezaji wa
timu ya soka ya taifa ya madagaska:
Beki |
Fanaia
Andriatsima Jean
Tholi Lanto
Randriamanalina Mamy
Randrianarisoa Michael
Rabeson Tovohery
Rabenandrasana |
Kiungo |
Faneva
Ima Hubert
Robson Jean
Baggio Randrinomenjanahary Jean
de l'Or Tsaralaza Johann
Paul Lalaina
Nomenjanahary Mario
Miradji |
Washambuliaji |
Charles
Carolus Andriamahitsinoro Claudio
Ramiadamanana Faneva
Ima Andriatsima Ferdinand
Ramanamahefa "Dafé" Paulin
voavy Praxis
Rabemananjara Rija
Juvence Rakotomandimby Sarivahy
Vombola |
Comments