Hour Mohammed ameshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Al-Hassan ya kimataifa kwa Taekwondo

Hour Mohammed mchezaji wa timu ya Misri kwa vijana wa Taekwondo, alishinda medali ya shaba katika mashindano ya uzito  wa 33kg kwenye Mashindano ya Al- Hassan ya Kimataifa , ambayo imefanyika huko Jordan katika kipindi cha 26 hadi 29 Julai.

Mashindano ya Al Hassan ndiye stationi ya mwisho kwa maandalizi ya timu yya kitaifa ili kushirikia katika Mashindano ya Ulimwengu kwa Vijana huko Uzbekistan katika kipindi cha 8 hadi 11 Agosti ijayo, ambapo timu ya Misri inatafuta changamoto kubwa ili kuvuna medali katika michuano ya ulimwengu .

Misri inashiriki katika mashindano hiyo na wachezaji 20 na wachezaji wa kiume 10: Ahmed Ali kilo 33, Khalid Al Mahdi kilo 37, Karim Wael uzito wa kilo 41, Youssef Haitham uzito wa kilo 45. Mohammed Osama uzani wa kilo 49, Ahmed Khalid uzani wa kilo 53, Abdul Rahman Ahmed Waleed kilo 57, Mahmoud Adel uzani wa kilo 61. Ahmad Yahya uzani wa kilo 65. Mohammed Hassan uzito wa + 65 kg. Na wachezaji wa kike10: Gana Ahmed Uzito kilo 29, Hour Muhammad Uzito kilo 33, Asma Mashali uzito wa Kilo 37 kilo, Lili Sharif uzito wa kilo 44, Hana Mohammed uzito wa kilo 47, Haneen Ahmed uzito wa kilo 51, Zeinab Mohammed uzito wa kilo 55, farida Ahmed uzani wa uzito wa kilo 59 na gana Walid uzito wa kilo +59. Ujumbe  unaongozwa  na kocha Mahmud 'Abd al-Jawad, Mahmoud Khalil, Mustafa Zaki na Ahmad Hassan.

Comments