Waziri wa vijana na mchezo apongeza kwa simu timu ya mpira wa mikono baada ya kutawaza kwake kwa medali ya bronzi katika kombe la dunia ya vijana wa mpira wa mkono
- 2019-07-29 13:33:44
Dokta (Ashraf Sobhy) waziri wa vijana na mchezo amepongeza kwa simu wachezaji wa timu ya kimataifa ya mpira wa mkono na baraza la idara ya Muungano baadaya kutawaza kwake kwa medali ya bronzi kwa kombe la dunia kwa vijana chini ya mwaka 21 ilianzishwa kisasa nchini ya hispania kwa mara ya pili katika historia ya misri ,baadaya kushinda kwake dhidi ya mwenzake wa ureno 34/27 katika mechi ya kuamua ngazi ya tatu katika mchuwano wa dunia .
Sobhy ameshiria kwamba mazoezi mazuri yote ambayo imefikiwa ujumbe rasmi wa michezo wa kimisri kupitia ushirikiano na mashindano yake katika sherehe mbali mbali na michuwano yake kimatifa na kibara yanazingatia mavuno ya msaada na utunzaji ambaye antoa rais abdel_fattah all_sisi ni rais wa jamhuri wa mchezo wa misri kwa ujumla ,misheni na timu ambazo kuinua jina la misri ya juu katika maonyesho mengi na matukio ya kimataifa ya michezo .
Waziri wa vijana na michezo ameamua kutoa tuzo ya wachezaji wa timu ya mpira wa mikono baadaya mazoezi yenye heshima na uzuri Katika njia ya mashindano mawili ya mbio katika michuano na kurudia michuano ya toleo la 1999 kwa kuhakiksha medali ya shaba duniani , akisheria kwambe atakuwa kwa heshima ya mapokezi misheni katika uwanja wa ndege wa kimtaifa wa cairo baadaya kurudi kwake kutoka nchi ya Hespania katika alfajri siku ya Jumanne ijao .
(Sobhy) amependekza kwa juhudi tofauti ambayo wachezaji waliifanya ,kifaa cha kifundi cha idara ,na Muungano wa kimisri wa mpira wa mikono na wanaoheshima jina la misri na watu wake kama amependekza juhudi kubwa hii inazingatia hoja kubwa kufainikwa medali nyingi katika mchezo wa mpira wa mkono ,ambayo imerudia furahi kwa barbara ya mchezo ya misri .
inatajwa kuwa wizara ya vijana na mchezo haizembi juhudi katika kusaidia wachezaji na kutoa ya misaada yao kwa ajili ya kuvuna michuano mingi na kuheshima Misri katika Hafla za kimataifa .
Comments