Moroko itakaribisha toleo la 12 la kikao cha michezo ya kiafrika pamoja na ushirikiano wa michezo ya 29
- 2019-07-31 11:23:04
Moroko itakaribisha kikao cha michezo ya kiafrika katika toleo lake la
12, wakati wa kipindi cha 19 hadi 31 Agosti 2019. na nchi nyingi za Kiafrika
zinashindana katika michezo 29.
Moroko ilipatia heshima ya kuandaa kikao cha michezo ya kiafrika baada
ya Utokaji wa Guinea kutoka kwa mpango
huu mwezi Novemba mwaka jana , na
ikapangwa kufanyika michuano katika miji (Rabat, Temara, Bensliman, Sala,
Casablanca( al-dar albidhaa),na al-ajadida ).
Na michezo inashiriki katika mashindano inakuja kama ifuatavyo: ndondi
,mpira wa wavu ,mpira wa kikapu ,mpira wa vinyoyoa ,kayaki, michezo ya nguvu
,judo ,mpira wa miguu ,upange ,chesi,baiskeli ,kipera na kayaki ,kuogelea
,mweleka,karate ,sarakasi ,mpira wa mikono ,kuinua uzito ,shuti , upinde ,
mshale ,triathlon ,tenisi ya mezani ,tenisi ya ardhi ,Taekwondo,Kiestonia na
Biliadi.
Ni muhimu kutaja kuwa michezo 17
toka michezo hii inaandaa kwa michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Comments