Heshim Hatab : tunashirki katika kikao cha michezo ya kiafrika kwa lengo la mashindano kuinua bendari ya Misri .

Mhandisi heshim hatab mwenyekiti wa kamati ya kiolompiiki ya Misri amesistiza kuwa ushiriki wa Misri katika kikao cha michezo ya kiafrika ambacho kitafanya nchini Moroko kupitia kipindi cha siku ya 19 mpaka 31 mwezi wa Agosti ujao kwa ajili ya mashindano juu ya lakabu .

 

Mhandisi Heshim Hatab amesema kuwa Misri inashiriki katika kikao cha kiafrika kwa mara ya kumi na mbili kwa idadi ya wachezaji 298 katika mchezo 24 kwa lengo la kushindana na kuinua bendari ya Misri chini ya urais wa rais abdul fattah al_sisi kwa umoja wa kiafrika na chini ya ulinzi kwa mchezo wa misri na kutafuta katika maendeleo yake na mafinikio ambayo yanahakiksha katika kila michezo kupitia kipindi cha sasa .

 

Mhandisi Heshim Hatab ametoa shukrani kwa waziri wa vijana na mchezo Dokta Ashraf Sobhy juu ya juhudi zake na ushirkiano bora  pamoja kamati ya kiolompiki na kujali kwake juu ya kuimrisha harkati ya kiolompiki katika mraba wa kutafuta kuelekea sura nzuri  kwa Misri na pia kuhakiksha mafanikio yanainua bendari ya Misri  .

 

Mhandisi Heshim Hatab ameshiria ,kuwa kikao cha michezo ya kiafrika inashuhudia nafasi ya kukaribiti kiasi wachezaji 30 kwa kikao cha michezo ya kiolompiki mjini Tokyo katika mwaka wa 2020 na hili ni lengo lingine bila ya  mashindano juu ya lakabu itakuwa na nchi za Morocco ,Nigeria ,Afrika Kusini na Algeria lakini tunazingatia kwa njia nzuri katika mashindano kuhakiksha malengo yetu .

Comments