Waziri wa Michezo anasifu kiwango cha ufundi cha timu ya kitaifa kwa upinde na mshale kwenye michuano ya Uswisi na kufuzu kwa Olimpiki ya Tokyo

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Michezo alisifu mafanikio makubwa yaliyohakikishwa  na wachezaji wa timu ya kitafa ya Kimisri katika mashindano ya Kituo cha Kimataifa nchini Uswizi, "raundi ya pili " ambayo ilimalizika , ambapo ujumbe wa timu ya kitaifa  kuhakikisha nambari zitakazofikia  Olimpiki ya Tokyo 2020, na inabaki viti vilivyohifadhiwa katika Mashindano ya kiafrika itakayofanyika huko Moroko, Mwezi ujao.

Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo ameipongeza timu ya kitaifa ,na akiisifu kiwango bora kinachoonyeshwa na mabingwa na anatarijiwa mafanikio  kwao katika michuano ya kiafrika.

Youssef tolbah alishinda kwa medali ya dhahabu katika mashindano kwa alama 668 na  kuhakikisha nambari mpya ya Kiafrika, wakati Sharif Ashraf alishinda medali ya fedha kwa alama 660.

Katika mashindano ya wanawake, Reem Mansour alishinda kwa medali ya dhahabu kwa alama 619, wakati Amal Ismail alishinda kwa medali ya fedha kwa alama 617, Mira Alshmaa alishinda kwa medali ya shaba kwa alama 607, na akaandika mabari  zimekufuzu kwa Michezo ya Olimpiki huko Tokyo.

pia Timu ya kitaifa ya Misri ilishiriki kwa wachezaji 9 nao ni Yusuf Tolbah, Sharif Ashraf, Baha al-Din Ali, Ali Hani, Raim Mansour, Amal Ismail, Mira Al-Shamaa, Hania Fouda na Nadi Azzam, wakiongozwa na makocha Majid Mohie.

Comments