Waziri wa vijana na michezo aliheshimu mwenyekiti wa kamati ya kimatibabu wa michuano wa kombe ya nchi za kiafrika .

Dokta Ashraf Sobhy ,waziri wa vijana na michezo aliheshimu Dokta mohamed sultan mwenyekiti wa kamati ya kimatibabu katika kamati ya kuandaa kwa michuano wa kombe la nchi za kiafrika 2019 namba ya 32 kwa mpira wa miguu ,ambyo Misri inaukaribisha kupitia muda kutoka siku ya 21 mwezi juni mpaka siku ya 19 mwezi wa julai pamoja na timu 24 za kiafrika .

 

Waziri wa vijana na michezo ametoa shukrani kwa kamati ya kimatibabu ambayo hali nyingi ngumu ,alikuwa maarufu zaidi mchezaji wa cameron ni joel tajwe ambye ameonesha kusumbuliwa kwake kuhusu tatizo katika artery ya coronary moyoni na pia mchezaji wa Nigeria Samweli calo alifanya catheter juu ya moyo baada ya mechi yake ya kwanza katika mIchuano ,kupitia uratibu kamili pamoja wizara la Afya .

 

Na pia inakuja hivyo katika mraba wa kuimrisha wizara wa vijana na mchezo na heshima yake kwa juhudi ambazo zimefanywa na kamati ya kuandaa kwa michuano ya kombe la nchi za kiafrika 2019 ambayo imeonesha uwezo wa Misri juu ya kuandaa na kukarbisha michuano mikubwa zaidi ya kikanda na kimataifa .

Comments