Waziri wa Safari pamoja na Benki ya kiafrika hutafutia njia za ushirikiano wa kiuwekezaji katika kutekleza njia ya Kairo/ Cape Town na kujenga mfereji katika ziwa la Nasser.
- 2019-07-31 11:53:25
Jenerali Mhandisi Kamel Elwazir : miradi ya Wizara ya Safari inalenga
kwa kumhudumia mwananchi mmisri , kuhudumia mipango ya maendeleo kamili, miradi
ya njia khasa katika Misri ya Juu huzingatia mfano wazi katika uwanja huu.
Mradi
wa bonde la kuelea unachangia kwa njia nzuri katika harkati ya uhamishaji wa
bidhaa kati ya misri ,sudan na maendeleo ya utalii nyama ya bwawa kati ya misri
na Sudan unazingatia sehemu muhimu katika mradi
unaounganisha wa ziwa Nasser kwa ziwa victoria.
Waziri wa uchukuzi " Safari" na Jenerali mhandisi kamil El_wazir alikutana pamoja
ujumbe wa banki ya kiafrika kwa maendeleo na hivyo kutafuta ushirkiano Katika
mradi ya njia na usafiri wa mto na pia rais wa shirika la umma ya njia na
madaraja , na mkutano huo ulihudhuriwa na rais wa shirika la umma kwa usafiri
wa mto ,viongozi wa wizara wa uchukuzi na pia wakilishi wa wizara wa uwekezaji
na ushirikiano wa kimtaifa .
Mwanzoni mwa mkutano waziri wa uchukuzi amesistizia kwamba miradi ya
wizara wa uchukuzi yote inalenga huduma ya raia ya misri na huduma ya mipango
ya maendeleo kamili kwamba miradi ya njia hasa nchini Misri ya juu inazingatia
kama mfano wazi katika ya njia huu ,akiashiria kuwa njia za moja ambazo
zinaweza ni uwanja kwa ushirkiano wa uwekezaji pamoja banki ni njia ya kairo
/Cape town kupitia ushirkiano katika kutekleza sehemu ndani ya ardhi ya Misri (Kairo/arken) kiasi kwambe
njia inapita mkaoni el_fayom ,bani sweif ,minya ,assiyt ,sohag ,qena ,luxor na
aswan kisha Njia inapanuka kutoka mji wa aswan na mpaka wa misri kupitia njia
za toshka mpaka arken umbali 22 mpaka nchi ya sudan .
Jenerali mhundisi /kaml el_waziri
ameongeza kuwa mradi ya pili ambao unaweza kuwa uwanja kwa ushirkiano wa
uwekezaji ya pamoja ni mradi wa kujenga bonde la kuelea katika ziwa nasar
,ambao utachangia mipango ya kurekbisha meli inarudi kwa njia nzuri juu ya
harkati ya uhamishaji wa bidhaa kati ya Misri na sudan na maendeleo ya utalii
nyama bwawa na kati ya misri na sudsn akisheria kwamba inazengatia sehemu
muhimu katika mradi wa unganisha katika ziwa nasar kwa ziwa victoria .
Waziri wa uchukuzi ameeleza kuwa miradi mpili hii ina umuhimu kubwa kwa
sababu nyingi kama uongozi wa Misri wa umoja wa kiafrika na kuja Misri juu ya
unaganisha aradhi na mto pamoja nchi za kiafrika pamoja na miradi hii inahuduma
raia wa kimisri na kiafrika na pia kufungua njia mpya kwa nafasi ya kazi na
kuhakiksha maendeleo kamili .
Pande mbili zimekubali juu ya kufanya wizara wa uhamishaji kwa kufanya
kifundi ,kimazingera na kichumi kwa miradi mbili na kuutolewa kwa banki ili
kutekleza ushirkiano wa pamoja wa uwekezaji katika miradi miwili ile .
Comments