Waziri wa Vijana na Michezo Dokta Ashraf Sobhy alikutana na jenerali
Hazem Hosni raisi wa Shirikisho la kimisri kwa shuti , ili kusimama juu ya
maandalizi ya hivi karibuni ka Shirikisho
itakaribisha michuano ya Dunia kwa Shuti 2020, ambalo Misri iliheshemika kwa
kuiandaa.
Mkutano huo ulishughulikia matayarisho ya Shirikisho la shuti kwa kushiriki
katika michuano ya Dunia kwa shuti katika mwaka ujao, pamoja na
ushirikiano kati ya Wizara na Shirikisho na kuimarisha kutoka wizara kwa
shirikisho katika kipindi kijacho kwa ajili ya kushiriki katika michuano mbali
mbali.
pia
Mkutano ulijadili njia za ushirikiano kati ya Wizara na Shirikisho ili
kuanzisha kituo cha ununuzi kilichojumuishwa kwa mahitaji ya mchezo wa shuti,
pamoja na pendekezo la kuanzisha mahali pa Shuti katika uwanja wa Kairo
Comments