Wangari Mathai ni mwenye harakati mkenya wa sekta ya
Mazingira na mmoja wa wanaoita kwa Amani na Ulinzi wa Mazingira barani Afrika,
naye katika mwaka wa 1977 ameanzisha harakati ya ukanda wa kijani, nayo ni
taasisi inayotimiza kundi la shughuli na yenye umuhimu mkubwa ni kuwasaidia
wanawake katika kulima zaidi ya miti milioni ishrini (20) nchini Kenya.
Ukuaji na hatua zake za kazi :
Mathai alizaliwa katika mwaka wa 1940,kwenye Nyiriri, nchini
Kenya, na alihitimu masomo yake toka kitivo cha Mawnt Sant Skulastika, na
amepata cheat cha masomo ya juu kutokana na chuo kikuu cha Betsberg. Naye
katika Mashariki na katikati ya Afrika
anazingatiwa mwanamke wa kwanza aliyepata cheti cha Dektora na amekipata
kutokana na chuo kikuu cha Nairobi mnamo mwaka wa 1971,na ndani yake
aliifundisha Anatomia ya Mifugo, kisha, alikuwa mkurugenzi wa sehemu ya
Anatomia ya Mifugo na Profesa msaidizi; na kwa hayo yote yeye anazingatiwa
mwanamke wa kwanza barani aliyepata nafasi kama hizi.
Katika mwaka wa 1977,alianzisha harakati ya ukanda wa kijani
iliyopanda zaidi ya miti milioni thelathini (30) barani Afrika, na mnamo mwaka
wa 1981 na 1987 yeye aliongoza baraza la kitaifa kwa wanawake nchini Kenya,
ambapo matatizo ya kimazingira nchini Kenya kama - Ukame, Kuondoa misitu, na
Upanuzi wa Jangwa - Kusini mwa Jangwa kubwa-, lililohimiza Masai kutoa wazo la
kupanda miti kwa jamii, na aliendeleza fikra ya kuipanda miti kwa ajili ya
kupambana Mmong'onyoko, kutosheleza Kuni ya mafuta, kuhifadhi madimbiwi ya maji
na kuimarisha Lishe na kuiboresha, pamoja na kutosheleza nafasi za kazi kwa
wanawake.
Mnamo uchaguzi wa mwaka wa 2002,alichaguliwa kwa kuongoza
nafasi ya kiserikali, kisha, alitawala nafasi ya naibu wa waziri wa Mazingira
na Rasilimali za asili nchini mwake, na katika 2009,aliainishwa mjumbe wa Amani
anayehusiana na Umoja wa Mataifa.
Mpaka kifo chake katika mwaka wa 2011,yeye alikuwa
mwanachama muhimu kwenye Bodi ya ushauri ya wabunge wa Ulaya pamoja na Afrika,
na ana mchango maalumu katika maisha ya kisiasa, bado yeye ni chanzo cha
kusukuma wanawake waafrika na pande zote za Dunia.
Tuzo na Heshima:
Mnamo mwaka wa 2004,Wangari Masai alipata tuzo la Nobel kwa
Amani, na kwa tukio hilo, alikuwa mwanamke mwafrika wa kwanza aliyepata tuzo la
Nobel kwa Amani ;kulingana na michango yake kwa ajili ya Maendeleo endelevu,
Demokrasia, na Amani, na kwa kuheshimu mchango wake wa kupambana kuondoa
misitu, kuhimiza Demokrasia, na Haki za mwanamke. Na katika mwaka huo huo
alipata tuzo la "Sufi" linalotolewa na mwandishi Mnorwegian
"Gostan Gharder", pia alipata Tuzo na Nishani kadhaa nazo na kama:
- Tuzo la Andira Ghandy (2005).
- Tuzo la Johari kwa akina Nehru (2004) na (2005).
- Tuzo la Sufi (2003).
- Tuzo la Nobel kwa Amani (2003).
- Tuzo la Coldman kwa Mazingira (1990).
- Tuzo la Right Lifiluhud(1983).
-Tuzo la kundi la kitaifa kwa kutangulia watu wenye rangi-
(Tuzo la Rais).
-Nishani ya Heshima toka cheo cha Transilvania.
Comments