Rais El-Sisi ahudhuria Hitimisho ya kundi la kwanza la vijana wa Afrika kutoka chuo cha kitaifa cha Mafunzo.
- 2019-08-02 14:58:03
Rais el-Sisi ahudhuria Hitimisho ya
kundi la kwanza la vijana wa Afrika kutoka chuo cha kitaifa cha Mafunzo.
Asubuhi ya Jumatano, kwa tarehe ya 31/7 /2019 Rais Abd Elfatah
ElSisi,anadhimisha kuhitimu kundi la kwanza la programu ya kiurais kwa
kuwawezesha vijana waafrika (APLP) inayowakusanya vijana wa kiume na wa kike
100 kutoka nchi 29 za kiafrika,waliotembelea mfereji wa Suez hivi karibuni , na
walielezea shangaa yao kwa miradi ya kitaifa nchini Misri,na mazingira ya
kusoma katika chuo cha juu cha mafunzo ya kitaifa.
Hitimisho ya kundi la kwanza kutoka programu ya kiurais kwa kuwawezesha
vijana waafrika umetokea kama pendekezo moja
la mapendekezo ya mkutano wa vijana ulimwenguni mwaka 2018 , na wakati
wa uongozi wa Misri wa umoja wa kifrika 2019.
Lengo la programu ni kuwajumuisha vijana waafrika wenye mawazo na imani
tofauti chini ya mwavuli mmoji mwenye lengo la maendeleo na amani,na hivyo kwa
kukamilisha wa jukumu la Misri katika ushiriki mzuri na serikali nyingine za
kiafrika kwa kuwekeza katika muhimu zaidi na ya thamani zaidi katika bara hilo
ambayo ni vijana,na programu hii inalenga kwa kutoa nafasi kwa vijana zaidi ya
1000 barani Afrika kupitia Kozi 10, ambapo
kila moja ina uwezo wa vijana 100.
Kundi hilo lilichanguliwa kupitia hatua kadhaa ambazo zilimalizika kwa
kukubali kwa vijana waafrika wanaosoma katika mpango wa kiurais wa kuwawezesha
vijana waafrika basi , mnamo siku ya jumapili tarehe 19/3 iliyopita,usajili
ulifunguliwa wakati wa tangazo
linaloelezea kwamba kusoma kutakuwa katika makao makuu ya chuo cha juu cha
mafunzo ya kitaifa,moja ya mafanikio ya mkutano wa vijana wa kitaifa na mpango
wa kiafrika, ambao uliandaliwa wakati huo ambao unakusudiwa kutoa mafunzo ya
vikundi 10 vya vijana waafrika 1000 kwa idadi ya vijana 100 kila kundi ili kufikia katika mwaka wa 2019 na ifikapo
2020 kumaliza kufunzo vikundi 5.
Na inayohusu njia za kufundisha ,njia za mafunzo zimetengenezwa ili kuwa
za juu na zisizo jadi ili kuongeza faida
ya mpango huo ulioundwa kutoa mafunzo na kufaidika na nguvu za vijana katika
nchi tofauti za bara,kupitia semina tofauti kwa kushirikiana na mashirika ya
ndani na ya kimataifa na kabila ,na pia inazingatia shughuli za vitendo na kazi
ya pamoja,na uhamiaji wa uzoefu ambapo ilikubaliwa na idadi kubwa ya wakufunzi
wakuu na wataalamu katika nyanja mbalimbali ili kuhamisha uzoefu wao kwa vijana
na kuajiri nguvu zao.
Kozi hiyo pia ilijumaisha mpango wa kitamaduni kupitia muundo kamili
unaoshughulika na kitamadduni,utalii,uchumi,kisayansi na michezo,ilijumuisha
ziara ya piramidi ya Giza ,Abu Elhool ,uwepo wa sauti na mwanga,ziara ya jumba
la mfalme Mohamed Ali, ziara ya kula na chakula cha jioni na wawakilishi wa
mamlaka ya uhamisishaji wa utalii,tembelea Mahali pa mkusanyiko wa Dini
,kuhudhuria mechi ya mwisho ya kombe la mataifa ya Afrika,ziara ya mji wa
Aleskandaria (jumbe la vito vya jadi-jumba la Qaitbay-maktaba ya Alskandaria
-mkutano na Gavana wa Alexandria na kutembelea mamlaka ya mferiji wa
Suez.kutembelea nyumba ya sayansi,utamaduni na sanaa)pamoja na ziara na
kutembelea sehemu za Kairo ya Kifatimu.
Comments