kwa mara ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Kairo.. Mfumo wa Uigizaji wa bunge la kifrika

Kitivo cha Masomo ya Juu ya Kiafrika - Ofisi ya  Uangalifu wa Masuala ya Wanafunzi waafrika - Chuo Kikuu cha Kairo kinapanga kwa mara ya kwanza Mfumo wa Uigizaji  wa bunge la kiafrika(Pan African Parlament Simulation Model) Katika kikao chake cha kwanza , chini ya Uangalifu wa Dokta Mohammed Othman Al-Khasht, Rais wa Chuo Kikuu.

 

Kitivo cha masomo ya Juu ya Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Kairo ni  kipengele kimoja cha kuongeza na kuthibitisha maarifa ya mambo ya Kiafrika, Na kufanya tafiti na masomo kwenye bara la kifrika , Na kudhibiti kwake na kuchapishwa , na kuunda watafiti na wataalamu wa kisayansi katika mambo yake, Na kuhimiza na kuimarisha mahusiano ya kimisri na kiarabu  pamoja na Afrika.

Comments