Kwa kuwepo kwa kundi la wasomi wa Afrika .. Mkutano wa Mambo ya Kiislamu mnamo Septemba ijayo ulifanyika.
- 2019-08-03 13:06:34
Wizara ya
Awqaf iliamua kufanyika mkutano wa
Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu katika siku mbili za 14 na 15 kutoka mwezi wa
Septemba ijayo chini ya kichwa cha
"Fiqh ya kujenga kwa Nchi - Utafiti wa Kifiqhi wa Kisasa".
Mkutano huo
unajadili hukumu za kifiqhi zinazohusu ujenzi wa nchi, "mitazamo ya
kisasa", dhana ya taifa na nguzo zake mnamo zamani na wakati wa sasa , na uwiano wa kifiqhi kati ya majukumu
ya kiujumla na binafsi na athari zake
katika kujenga nchi Na hukumu za kifiqhi za kiraia kati ya mizizi na wakati wa
kisasa, na msimamo wa dini ya kiislamu kutoka mifumo ya Utawala wa kisasa . pia
mkutano unajadili Fikhi ya madola na Fikhi ya
mikusanyiko, nguzo za Fikhi ya madola, na fikhi ya mikusanyiko, hotuba ya kutengana
Pamoja na
nchi kwenye vikundi vya ukandamizaji, Na upotovu wa kiakili katika kuunda dhana
ya nchi kwenye vikundi, na njia za nchi na umma katika utaratibu wa kimataifa
wa kisasa (mitazamo ya kifiqhi) . Na matokeo chanya ya utawala wa nchi na
madhara mabaya ya mahakama ya makundi, na mtazamo wa kanuni za kimataifa za
nchi na fiqhi ya makundi na hukumu zao.
Mkutano huo
pia unajadili mipango ya nchi kama kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, kikatiba na
kisheria.
Wizara
ilieleza kwamba mwaliko utaalikwa kwa wasomi wengi miongoni mwa Wanasayansi
vijana wa Kiafrika kwa kuhudhuria mkutano kwanza mara ya kwanza wakati wa urais wa Misri wa Umoja wa
kiafrika.
Comments