Waziri wa ndege na Waziri wa vijana na michezo watafuta maandalizi ya kuwakaribisha washiriki katika Michuano ya Kombe la Kimataifa la Afrika.
- 2019-04-04 22:05:35
Mheshimiwa Waziri wa
ndege Yunes Al-masri amekutana
na D.K.t Ashraf Sobhi
Waziri wa wa
vijana na michezo ili
kujadili michango ya
wizara ya ndege
kwenye Michuano Mataifa
ya kiafrika, ambayo Misri
itakuwa mwenyeji wake
mwezi juni ujao, ambapo
mataifa 24 yatakuwa washiriki.
Mawaziri wawili waliafikiana
kuwa Wizara ya ndege itafanya juhudi zote
zinzofuatiwa katika ukaribishaji
na kuaga washiriki
kwenye michuano hiyo ; Tume
za mataifa ya
kiafrika , wageni
wakubwa , majumbe, na
maandalizi ya tamasha
la kura ya michuano lilioribitiwa kufanyika ijumaa ijayo.
Kama ilivyotangazwa kuainisha
jumba ya kufikia
ndani ya uwanja za
ndege za Misri kwa mataifa
ya kiafrika yatakayoshiriki katika
michuano, na kuanzisha
sehemu kwao hasa kwenye uwanja za ndege , kwa
lengo la kurahisisha
shughuli za kufikia na kusafiri .
Hiyo baada ya
kukutana na kamati ya maandalizi
ya michuano na kuafikiana juu
ya kutoa juhudi zote za kurahisisha.
Waziri wa
vijana na michezo ametafuta
na Waziri wa
ndege kundi la
misingi ya mahusiano
kati ya wizara
mbili katika kipindi kijacho miongoni mwake; kuanzisha
ofisi ya kampuni ya
Misr Lil-Twayaran ndani
ya moja ya mjengo yanyofuata
Wizara ya vijana na michezo inyohusika
kuchapisha tikiti za
ndege kwa jumbe za michezo
zitakazoshiriki katika michuano
mablimbali ya kimataifa .
Pia kuchapisha tikiti
za ndege
kwa washiriki kupitia
Wizara ya vijana na michezo
katika programo za mabadilishiano ya
vijana pamoja na nchi za jirani,
kwa lengo la kununua na kuuza tikiti
kwa bei nafuu .
Licha ya kuainisha
jumba ndani ya
uwanja za Misri ili kuwakaribisha wachezaji
wamisri wanaoshiriki katika michuano
ya michezo .
Pia walikuwa wameafikiana
kuwa Wizara vijana
na michezo itafanya utafiti
ili kuborsha na
kusonga mbele uwezo wa baadhi ya taasisi za
michezo kwenye klabu ya Iro sport
inayofuata Wizara ya ndege ,
na kutia saini protokoli
ya mahusiano ya
pamoja kati ya Wizara mbili
ili kutekeleza
yaliyoafikiana katika si
zijazo.
Comments