Misri imeshinda juu ya Ufaransa katika michuano ya Dunia kwa wasichana wa skwoshi

Timu ya kitaifa kwa wasichana wa skwoshi  ilihakikisha  ushindi wake wa pili katika kundi la kwanza katika  mashindano ya dunia iliyofanyika nchini Malaysia na itaendelea hadi Agosti 9.

Timu yetu ya kitaifa ilishinda juu ya Ufaransa kwa matokeo 3-0.

Timu ya kitaifa ya Misri iliwakilisha Jana Shiha, Sana Ibrahim na Farida Mohamed. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:

Jena Shehah alishinda mfaransa Nino Lumarshan  kwa matokeo 3-0, na Matokeo  ya mechi yalikuja kama ifuatavyo: "11-2, 11-4, 11-7".

pia Sana Ibrahim alishinda mfaransa Mahe Asanche kwa matokeo 3-0 , na  Matokeo yalikuja kama ifuatavyo: "11 - 9, 11 - 4, 11 - 1".

Ama kuhusu Farida Mohamed alishinda mfaransa  Yona Loak kwa mabao 3 , Matokeo  ya mechi yalikuja kama ifuatavyo: "11 - 8, 11 - 5, 11 - 1.

Comments