Misiri ilishinda Uswidi Katika ufunguzi wa mechi za wa Kombe la Dunia kwa vijana wa mpira wa mikono

Timu ya kitaifa kwa vijana wa mpira wa mikono waliozaliwa mnomo 2000 , imeongozwa kwa mkurugunzi wa kifundi  Magdy Abou El Magd juu ya mwenzeke timu ya Uswidi katika mechi imeyocheza kati yao , jana katika mechi za raundi ya kwanza kutoka raundi ya kimandalizi katika mashindano ya Dunia huko Makedonia .

 

Kipindi cha  kwanza cha mechi kilimalizika kwa maslahi ya timu yetu ya kitaifa kwa matokeo (16-15).

Kupingwa kwamba timu ya kitaifa itapambana mwenzaka timu ya ufaransa katika raundi ya pili ,leo saa 10:30 jioni  . kisha  itakutana na timu ya China Taipei saa 8:30 jioni Ijumaa, kisha itapambana na timu ya  Canada saa 2:30 jioni Jumamosi, na kuhitimisha mechi za raundi ya kwanza dhidi ya timu ya Hungary saa 6 :30 jioni Jumatatu Agosti 12 .

Timu ya kitaifa kwa vijana iko katika kundi la pili imeyojumisha : Ufaransa , Uswidi , Hungary , Canda na China Taipei.

Orodha ya wachezaji ni imejumisha : Abdul Rahman Hamid, Moamen Hossam, Mazen Reda, Ibrahim El Sayed, Omar Attia, Mahab Saeed, Saif Hani, Hassan Qaddah, Ziad Abdel Aal, Mohamed Samir, Youssef Alaeddin, Youssef Ahmed Hassan, Abdel Fattah Ali, na Ahmed Hisham Bwana, Omar Lotfi, na Yasser Saif.

Comments