Kwa mara ya kwanza tukio la vijana kubwa zaidi..... Ushirikiano kati ya Wizara ya Vijana na Michezo na Kameshina ya Umoja wa kiafrika katika kutekleza Oscar ya Ubunifu wa kiafrika.

Wizara ya vijana na michezo ilitangaza mkataba kati ya Wizara na Kameshina ya Umoja wa kiafrika kwa kushirikiana katika kutekleza matukio ya Oscar ya Ubunifu wa kiafrika, kwa ushirikiano wa vijana waafrika toka nchi za Umoja wa kiafrika, yanayoandaliwa mnamo kipindi cha 1 -10 Septemba 2019 kwenye Jamhuri ya Misri ya kiarabu, wakati wa Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika, na Aswan ni mji mkuu wa vijana waafrika.

 

Kameshina ya Umoja wa kiafrika iliashiria kwamba Oscar ya Ubunifu wa kiafrika inakuja na inatokea sawa sawa na na kama usaidizi kwa mpango wa kuwawezesha vijana waafrika milioni moja kwa kufikia mwaka wa 2021 (One million by 2021 initiative)  unaolenga uwekezaji wazi katika vijana waafrika, na kutoa nafasi kwa vijana waafrika katika nyanja kadhaa, na kuunda uwezo wa vijana waafrika na kuwasaidia ili kutumika uwezo wao.

 

Oscar inalenga kwa kuonyesha vipaji vya vijana waafrika, kuhamisisha vipaji vya kiafrika na kuvisaidiza, kupambana na changamoto kubwa zinazokabili utamaduni na sanaa tofauti  za kiafrika, kuongeza roho ya kushindana kati ya vijana waafrika katika nyanja tofauti  za Ubunifu, kuzingatia kutekleza harakati za kiufundi na kitamaduni kwa vijana wa nchi za kiafrika, pamoja na kuimarisha mihimili ya urafiki kati ya vijana waafrika kupitia sanaa kuzizingatia chombo cha kuwasiliana na njia kwa kuongeza mawasiliano kati ya nchi.

 

Matukio ya Oscar mnamo siku kumi hushuhudia mashindano ya vijana waafrika katika viwanja vya Filamu fupi, Filamu za picha zinazoelekea, Muziki, Kuimba pekee, Kupiga muziki pekee, Kuipiga picha za kumbukumbu, kupiga picha, kuchora, Shughuli za Sarakasi, pamoja na shughuli za kiufundi, na kamati za kutoa maoni za viwanja vya Oscar zinajumuisha idadi ya wataalamu na wajuzi katika viwanja vya Oscar

Comments