Waziri wa michezo akijadili na wajumbe wa Muungano wa karate njia za kueneza tabia za mchezo
- 2019-08-10 22:41:41
Dokta Ashraf Sobhy alifanya mkutano na wajumbe wa baraza la
kimisri kwa karate aliyeongozwa na Muhamed dahrawy na ilihudhuria na Esam Abd
el Raouf na Hosam Agoz wajumbe wa baraza na kapteni Murad Asem mkurugenzi wa
ufundi wa shirikisho na Khaled Abdel Satar mkurugenzi mkuu wa baraza.
mkutano huo uliyofanikiwa leo kwa wizara ya vijana na
michezo ili kujadili njia za kuunga mkono wizara kwa ajili ya kueneza mchezo
katika vijiji vyote vya kimisri na miji
kwa ajili ya kuongeza idadi ya washiriki na kuunga mkono mchezo hii katika
mikoa yoyote ambyo itachaguliwa katika kuhifadhi na hali ya timu ya misri na
kuongoza yake katika ubingwa tofauti ya taifa na ulimwengu kwa mchezo wa karate
.
Licha ya umuhimu zaidi ni kuenea tabia bora kwa michezo
kata ya wachanga na vijana ambaye
zitaenea kati yao kwa ajili ya kufanya mchezo hii na milioni ya watu ikiwa kwa
njia ya juu au kwa kawaida ndani ya klabu au vituo vya vijana.
Naikijadiliwa pia maandalizi hasa kw timu ya misri ambayo
itashirikia kwa ligi ijayo nchini tukio mwaka 2020.
kutokana na mkutano huo waziri wa vijana na michezo
alitangaza kwamba wizara itaunga mkono vituo vya vijana kwa kuzingatia kwamba
ni taasisi yenye idadi kubwa ya wachezaji waliofika elfu 500 na vijana
Comments