Rais Al-Sisi anapokea Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Jumatano Aprili 3, 2019 katika Ikulu ya Misri huko Misr aljadida ,Rais Alsisi alifanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Jotritsc, ambaye sasa anafanya ziara kwa Misri baada ziara kadhaa kwa Tunisia na Jordan .

 Rais Abdel Fattah Sisi alijadili katika mkutano wake na Antonio Jotirih, njia za kuimarisha ushirikiano kati ya Misri na Shirika la Kimataifa, maendeleo ya hali nchini Syria, Libya, Yemen na swala la Palestina. Pia walijadiliana changamoto zinazokabili Mashariki ya Kati, hasa ugaidi na mchango wa Umoja wa Mataifa la kupambana swala hili,akiashiria kuwa Misri itaendelea ushirikiano wake na Umoja wa Mataifa katika uwanja huu kupitia utekelezaji kamili wa maamuzi ya Jumuia kuu yanayohusika kwa kupangilia na vyombo vya  Shirika la Kimataifa husika ,Pia kutekeleza mkakati wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na ugaidi.

 Waziri wa Mambo ya Nje Sameh Shukri alieleza katika mkutano wake wa habari na Jotirih uliofanyika baada ya kumaliza mazungumzo na Rais Al-Sisi katika Ikulu kwamba mazungumzo yaligusia azimio la Misri la kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika nyanja mbili za kulinda amani na maendeleo, hasa katika mfumo wa urais wa kisasa wa Misri wa Umoja .Kairo inatarajia kuendeleza ushirikiano kati ya mashirika mawili, hasa katika utekelezaji wa ajenda mbili za mwaka 2030 na 2063 na kushughulikia changamoto cha amani na usalama katika bara.

 Kwa upande wake ,Guterich alisisitiza kuwa Golan ilyotawaliwa ni ardhi ya Syria, akiashiria kwa azimio la Umoja wa Mataifa na umoja wa ardhi za Syria, na kuzuia uamuzi mbaya wowote unaoathiri hali huko Golan.

Na alisisitiza kwamba Misri Mshiriki mkuu kwa Umoja wa Mataifa katika Mashariki ya Kati na kwamba ushirikiano wao uko katika nyanja nyingi ili kufikia usalama na amani, akithamini juhudi za Misri za kufikia ufumbuzi wa suala la Libya.

Kwa upande wa mgogoro wa Palestina na Israel, Jotirih aliashiria kwa juhudi kubwa za Misri na mchango wake katika kumaliza uongezeko wa hali mbaya huko Gaza na utoaji wa misaada ya kibinadamu kwao na juhudi zake za kuunganisha safu za Palestina,akiongezea kwamba tunatafutia kufikia ufumbuzi wa kuanzisha nchi mbili na dhamana ya kuhakikisha utekelezaji wa maamuzi ya Umoja wa Mataifa yanayohusisha ili kuhakikkisha utulivu katika kanda hiyo. Kwa juhudi za kupambana na ugaidi, Jotirih alisema: "sisi tulifanyika kilele kilichojumuisha pande zote zinazohusika tangu miezi . Na tunafuta kufanya kilele kingine nchini Nairobi kupambana na ugaidi katika Afrika na tunajua hatari ya wapiganaji wa kigeni na hakuna nchi moja inaweza kutatua tatizo pekee.

Comments