Waziri wa Michezo anasisitizia heshima yake kwa orodha ya Muungano katika shida ya Algabalaya na anakanusha kuundwa kwa Kamati.
- 2019-08-14 15:23:53
Dokta Ashraf Sobhy
waziri wa vijana na michezo amesisitiza kuwa wizara imelazimikia kanuni ya
michezo na orodha ya shida ya Muungano wa mpira wa miguu wa kimisri unaoruhusu
mkurugenzi mtendaji kusimamia maswala ya Muungano ule baada ya kujiuzulu kwa
baraza la wakurugenzi iliyoongozwa na mhandisi Hany Abu Reda.
Waziri wa Vijana na
Michezo aliongeza kuwa alikutana na kamati iliyotumwa na Muungano wa mpira wa
miguu wa Kimataifa kulingana na ungalifu wa Serikali kwa kueleza mambo yote yanayohusiana na msiba
huo, na ikathibitishwa uhalali wa kujiuzulu kwa Baraza hilo.
Walijadili pia hali ya
sasa ya Muungano wa mpira njia za kusuluhisha shida hiyo kulingana na kanuni za
kimataifa na za ndani, akiashiria kwamba anangoja ziara nyingine ya ujumbe wa
kimataifa mwishoni mwa Agosti kuchukua uamuzi unaofaa, unaohakikisha utulivu wa
mfumo wa mpira wa miguu kwa njia ambayo haitoi shida yoyote na FIFA au kukiuka
mikataba ya kimataifa .
Alisisitiza kwamba
uteuzi wote na majina ambayo yamewekwa mbele kwa kamati ambayo itaendesha umoja
huo kwa mwaka, ni uvumi tu na sio ukweli kwani mambo hadi sasa yanaelekea
kwenye utekelezaji wa kanuni kwenye algabalaya. inayosema kwamba Mkurugenzi
Mtendaji atasimamia maswala ya Muungano katika kipindi kisichozidi miezi mitatu
na atatoa mwito wa kufungua mlango wa uwakilishi wa uchaguzi mpya
hatutazungumza juu ya kuundwa kwa kamati yoyote tu baada ya idhini ya FIFA, na
uteuzi wa mkurugenzi wa ufundi wa timu ya kitaifa ulithibitisha kuwa hii ni
mapema na lazima Panga nyumba kutoka ndani kwanza halafu utakuja kamati mpya au
baraza ambalo litachaguliwa nao, na akasisitiza kwamba serikali haitaingilia
mambo ya kiufundi kama haya.
Comments