Leo, Mheshemiwa Abd Elfatah Elsisi amewakutana na Dokta
Mustafa Madbuly "Waziri mkuu" na waheshemiwa Mawaziri wa Umeme,
Nishati endelevu, Mambo ya nje, Elimu ya juu na Utafiti wa Kisayansi, Fedha,
Afya, Wakazi, Kilimo na kurekebisha ardhi, Biashara na Viwanda, Sekta kuu ya
kazi, Usafiri, na Rais wa Upelelezi mkuu.
Balozi Bassam Radi "Mzungumzaji rasmi kwa Urais wa
Jamhuri" alieleza kwamba mkutano ulijadili uangalifu mfululizo kwa
harakati zote za Urais wa kimisri kwa Umoja wa kiafrika mnamo mwaka huu na
tangu mwezi wa Februari uliopita, ambapo urais ule ulitokea kuheshima juhudi za
Misri wakati wa miaka iliyopita ya hivi karibuni kwa ajili ya kuimarisha
mahusiano pamoja na bara la kiafrika, sawa ikiwa kwa pande mbili au pande
kadhaa tofauti, pia kwa kurejesha mchango mkuu wa kimisri kama nchi moja ya
nchi zilizoanzisha Shirikisho mama la Umoja wa kiafrika mnamo miaka ya Sitini
ya Karne iliyopita, nao mwelekeo uliopata msimamo mzuri sana toka ndugu
waafrika.
Na Mzungumzaji rasmi alieleza kwamba Mheshemiwa Rais aliita
kwa kuendelea katika kazi na kupanua suala la ushirikiano pamoja na nchi ndugu
za kiafrika, na kuendelea katika mawasiliano ya kiustarabu pamoja na nchi zake
zote, pia kutosheleza na kutumika uwezo wa kimisri kwa ajili ya bara na
kujihusisha katika kuunda na kuboresha vyombo vya kazi ya kiafrika ya pamoja,
ili Kuhakikisha maslaha ya pamoja kwa nchi zote za kiafrika, jambo
linalohusiana na masuala makuu ya bara, khasa masuala ya Maendeleo, Kutoa
huduma , na Kulinda Amani na Usalama barani Afrika.
Pia Mheshemiwa Rais aliita kwa kutekleza picha kamili na
jicho la siku za usoni kwa upande wa nchi mbili au kupitia Umoja wa kiafrika na
vyombo vyake, linalodhamini maendeleo kwa mipango na harakati za kimisri
zilizoangaliwa mnamo Urais wa Misri kwa Umoja, akiangalia mihimili ya Ajenda ya
maendeleo ya kiafrika 2063 na mtazamo wa Misri kwa Maendeleo endelevu 2030.
Na mkutano ulijadili hatua zilizotokea kwa ajili ya
kutekleza mpango wa Urais wa kimisri kwa Umoja wa kiafrika, pamoja na
vipaumbele vyake na malengo yake, khasa katika uwanja wa Ukamilifu wa kiuchumi,
na Kujihusisha kwa kikanda, khasa kupitia kuingia mkataba wa biashara huru ya
kiafrika katika utekelzaji mnamo Mei iliyopita, na mnamo rasmi kwa eneo huru la
biashara wakati wa mkutano wa mwisho wa kiafrika huko Naiger, pamoja na juhudi
za kusisitiza miradi ya miundombinu barani Afrika, kama njia ya Kairo Cape
town, miradi ya kuunganisha kwa umeme na njia, kwa ajili ya kuchangia
kuimarisha ushikamano wa kibara.
Pia kuonyesha mafanikio ya Urais wa kimisri katika uwanja wa
maendeleo ya kiuchumi na kijamii kupitia kuelekea kuheshima na kuongeza
yanayorejesha toka vijana waafrika, pia kuboresha taasisi mbili za viwanda na
kilimo za kiafrika, linalochangia Kuhakikisha misaada ya maendeleo kupitia
Shirikisho la kimisri kwa Ushirikiano kwa ajili ya maendeleo, na kutosheleza
vipindi vya mafunzo, kujenga uwezo, kuhamisha ujuzi wa kimisri unaopo katika
nyanja tofauti, kuongeza idadi ya Fadhili tofauti za kiwlimu katika Elimu ya
juu, Utafiti wa Kisayansi kwa ndugu waafrika nchini Misri, pamoja na upande wa
uchumi kwa kuimarisha biashara ya nje na kuimarisha kuwepo kwa uwekezaji kwa
kimisri barani Afrika, akiongezeka na kutoa mipango kadhaa kwa ajili ya
kuimarisha Afya ya ujumla barani kama mpango wa Kutibu mwafrika milioni moja
toka virusi ya "C", njia za kutosheleza aina tofauti za chanjo Katika
nchi za kiafrika, kupeleka makundi ya kimatibabu. Pia kuonyesha juhudi ya Misri
kwa kuwasiliana pamoja na nchi za kiafrika kiutamaduni na kiustarabu,
kushughulika kuboresha taasisi ya kimichezo, lililokuja wakati wa kukaribisha
toka Misri kwa Kombe la mataifa ya kiafrika 2019,lililoimarisha kutendeana kwa
njia ya kiustarabu katika hali za ndugu za kimichezo, linalosaidia jambo la
ushikamano wa kibara na kurahisisha mawasiliano kati ya vijana waafrika.
Na Mzungumzaji rasmi aliongeza kwamba mkutano uliendelea
katika yaliyohakikishwa katika uwanja wa kutekleza na kuimarisha ushirikiano
kati ya Umoja wa kiafrika na washiriki wa maendeleo ulimwenguni, uwanja
ulioendelea kikamilifu na mfululizo, pamoja na harakati kubwa iliyoshuhudiwa na
itashuhudiwa tena toka mhimili huu kupitia ushirikiano wa kimisri katika vilele
viwili vya kundi la Ishrini na kundi la nchi saba za viwanda kubwa zaidi,
pamoja na idadi tofauti toka vilele vya pamojana Japan, Urusi na nyingine.
Na mkutano ulishuhudia yaliyotokea katika uwanja wa
kurekebisha kwa Taasisi na fedha kwa Umoja wa kiafrika chini ya Urais wa
kimisri, khasa kuboresha mfumo kamili kwa kutathmini matendo na kuhesabu na
kuimarisha uwazi katika shughuli A Kameshina ya Umoja, kuongoza bajeti ya
taasisi. Pia kuelekea juhudi za Urais wa kimisri katika kuangalia suala la
Amani na Usalama barani Afrika, khasa kupitia kuimarisha juhudi za Umoja wa
kiafrika ili Kuhakikisha Mfumo wa Amani na Usalama barani, na kutoa "
mkutano wa Aswan mwenye nafasi kubwa kwa Amani na Maendeleo endelevu" kwa
mwisho wa mwaka huu, kuimarisha vyombo vya kiafrika ili kurejesha Maendeleo
baada ya migogoro, khasa kupitia kukaribisha toka Kairo kwa Kituo cha Umoja wa
kiafrika kwa ajili ya kurejesha Maendeleo katika awamu ya baada ya migogoro, na
kuongeza juhudi zinazotolewa kwa kuzuia migogoro na kuipambana, lililoonyeshwa
kwa uwazi katika kuita na kukaribisha Misri kwa Kilele cha Ushauri kwa
washiriki wa kikanda wa Sudan, na Kilele cha Terwika na Tume ya Lebya katika
Umoja wa kiafrika.
Comments