Mapokezi yenye busara ya mashindano wa Taekwondo baada ya kukamilika kwa Mashindano ya Dunia ya vijana.

Ujumbe wa timu ya Taekwondo ya kitaifa umerudi baada ya kushiriki katika mashindano ya dunia huko Uzbekistan

ujumbe ulioshirikisha ulishinda medali mbili za shaba kupitia kwa Mohamed Hassan katika uzito wa zaidi ya kilo 65 na Mohammed Osama katika uzito wa chini ya kilo 49, ikiongozwa na Mohamed Mounir, mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Muungano na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi na kuongozwa na timu hiyo Mahmoud Abdel Gawad, Mahmoud Khalil, Mustafa Zaki na Ahmed Hassan.

Amr Salim mwenyekiti wa Muungano alisifu kufanikiwa kwa wachezaji hao kutokana na ushiriki mkubwa wa nchi kubwa huko Taekwondo, akielezea kuridhika kamili na kile ambacho kimefanikiwa katika hafla ya Taekwondo Duniani kwa vijana licha ya kuwa na kipindi kifupi cha maandalizi.

Na mwenyekiti wa Muungano amemshukuru sana Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo na maafisa wa Benki ya AlAhly ya kimisri , mdhamini rasmi wa Shirikisho hilo na na ilikuwa tayari kwa kukaribisha  ujumbe wa Misri kwa Taekwondo na timu ya kazi ya taasisi ya Rawabt kwa michezo.

Comments