Timu ya El Hoki imefanya alama kamili kabla ya raundi mbili za mwisho za fainali za kiafrika zilizohitimu michezo ya olimpiki ya Tokyo.
- 2019-08-18 10:11:58
Timu ya kitaifa ya kwanza ya Hoki kuongozwa na Mohey zaghlol
meneja wa kifundi imesajili alama kamili kabla ya raundi mbili za mwisho wa
fainali za kiafrika zilizofanyiwa katika Afrika kusini Kuanzia 12 hadi 18 mwezi wa nane huu.
Mafarao wameshinda pointi tisa za kufuzu katika mara tatu
mfululizo mbele ya Zambia, Kenya na Namibia mfululizo.
Na inabaki mechi mbili mbele ya Ghana na Afrika kusini kwa
utaratibu.
Timu yetu ya kitaifa Imeshinda mwenzake Zambia kwa 6_0
katika mara ya kwanza ya fainali za bora. Kisha Imeshinda timu ya Kenya kwa
2_7. Mwishoni, ushindi wa timu ya Namibia kwa 6_1.
Imepangwa kuwa timu yetu inapumzika kesho kabla ya kukabili
mwenzake wa timu ya Ghana katika
raundi ya nne ya michuano ya bara.
Timu yetu ya kitaifa inayoongozwa na Mohey Zaghlol kwa
kifundi inatarajia kuteka tiketi ya kufikia hasa baada ya utendaji bora wa timu
yetu ambapo imeonesha katika michuano ya mwisho ya ufaransa ya Kimataifa
iliyofanyika mwezi uliopita nchini ufaransa ingawa Afrika kusini ni mshindi wa
kwanza kufuzu katika fainali.
Mshindi kwa nafasi ya kwanza hufikia fainali za michezo ya olimpiki ijayo
inayopangwa kufanyika katika kiangazi ya 2020 huko Tokyo.
Comments