Misri inapanga kujenga “msitu wima”wa kwanza barani Afrika.

mhandisi wa Italia “Stifano Poriri”ameeleza mipango ya makazi matatu kwa mfumo wa mcheraba yamefunikwa kwa misitu wima katika mji mkuu mpya wa utawala nchini Misri.

kampuni ya mhandisi wa Italia imesema kwa tovuti yetu kwamba;sisi tunajitolea kwa “kampeni ya Dunia kwa misitu ya ustarabu”ambayo itajumuisha mashamba ya jiji na bustani za paa na mifumo nyingine na nafasi kijani za umma.

mradi wa kwanza kwa mhandisi wa Italia ilikuwa minara miwili ya makazi kwa urefu  wa 80(inchi 262)na kilo mita 112(inchi 367)mjini milango ya Italia kupambo kwa matawi ya mimea uonekana na mapambo;huduma za afya na mazingira.

katika mradi huo kampuni ya “poriri”itashiriki na mbunifu wa kimisri “Shimaa Shalsh”na “Lora Gati”mtaalamu wa Italia katika mazingira ya asili.

kampuni ilibainisha miundo kwa majengo matatu yamefunikiwa kwa mimea.na jengo itafika kwa umbali mita 30 katika mita 30.dirisha na roshani za majengo yatapambwa kwa maelfu ya miti na mimea na kile mnara kutoka miti italenga kutoa wakazi wake idadi kadhaa na miti kati ya miti miwili na miti 8.

kutokana na tovuti ya kampuni msitu wima ni mradi kwa ajili ya kusali mazingira katika miji ya ustarabu.Imejengwa kuimarisha “uboreshaji kati ya uhandisi ya usanifu na Uhalisia katika maeneo ya ustarabu”.

mtaalamu mmisri Shalsh amefanya kazi na Poriri kwa mradi wake tangu miaka mitano;alisema kwamba tutaanza kazi kwa mradi huo mwaka 2020 na tutamaliza baada ya miaka miwili.

Na kati ya makazi matatu ;makazi mawili yatakuwa ghorofa.ama makazi ya tatu yatakuwa hoteli na makazi yoyote yatakuwa kujitosheleza kwa nishati.pamoja na kile ghorufa yatakuwa naye balcony na makundi ya mimea ambayo itatosheleza na hali ya hewa ya ndani.na mimea hii itapanda kwa urefu tofauti kukua katika wakati mwingine na maua yatakayokua kwa mwaka mzima

Comments