Waziri wa vijana na michezo : hakuna kuzuia kwa mchezaji yeyote na tunatofautisha baina ya utendaji wa kiutawala na maslaha ya wachezaji.

Waziri wa vijana na michezo, Dokta Ashraf Sobhy amesisitiza kwamba lengo kuu la wizara ni maslaha ya wachezaji na hakuna kuzuia kwa mchezaji yeyote, pia wizara inatofautisha baina ya utendaji wa Muungano wa kiutawala  na maslaha ya wachezaji.

Sobhy amesema : hakuna ucheleweshaji katika kutoa misaada kwa Muungano wa Khomasi ya kisasa , lakini hali hazikuwa wazi kutoka Muungano hiyo, na haukufanya mkataba kwa sababu misaada ya zamani iliyopokewa, pia mkataba umefanywa kabla ya sikukuu kwa siku moja.

Licha ya ukosefu wa muda na likizo, imetumwa kwa kamati ya Olimpiki ili kufanya mkataba ,

Hotuba ya msaada imetolewa jana Ijumaa, 16 Agosti

Sobhy ameeleza kuwa Miungano yote ya kimichezo ikiwa ni pamoja na Muugano wa Khomasi ya kisasa yamepatia mwaka huu misaada mikubwa zaidi kutoka mwaka uliopita.

 

Sobhy amemaliza matangazo yake akisema : sio lazima kuhimiza kwa wachezaji dhidi ya nchi inayowakilishwa katika wizara ya vijana na michezo, na wizara haitakuja juu ya maslaha ya wachezaji au mwana yeyote kutoka wana wa Misri.

 

Muungano wa Khomasi ya kisasa ya kimisri , chini ya uongozi wa mhandisi (Sharif Alerian) umeomba msaada kwa sababu ya ucheleweshaji wa misaada, jambo ambalo litasababisha katika kutoa maombi ya kutoshiriki katika michuano ya dunia inayofanyika katika kipindi cha siku ya moja hadi siku ya nane, mwezi wa Septemba katika mji mkuu wa Hungary (Budapest), na ambayo kuhitimu kwa mashindano ya michezo ya Olimpiki (Tokyo 2020).

Na timu ya kitaifa itaelekea Italy, siku ya Jumatatu 19 Agosti ili kufanya kambi ya uandaaji kabla ya ushiriki katika michuano ya dunia.

Comments