Ali Hazem ameshinda na dhahabu ya judo katika uzito wa 90kg kwenye kikao cha michezo ya Afrika

Mchezaji wa timu ya kitaifa ya judo Ali Hazem inashinda medali ya kidhahabu ya kikao cha michezo ya Afrika iliyofanyika sasa Morocco.

Bingwa wa Misri alimpiga mwenzake wa Tunisia katika mechi wa fainali wa chini ya 90kg, na matokeo ya Ipon, katika ukumbi wa Moulay mkuu Abdallah huko mjini  Rabat.

 

Mchezaji wa Misiri alishinda katika nusu fainali bingwa wa Kongo kabla ya kushinda medali ya kidhahabu.

 

Na hivyo nafasi wa Misri inaongezeka kwa dhahabu tatu na shaba tatu kwenye kikao cha michezo ya Afrika.

Comments