waziri wa michezo kwa mabingwa wa Khomasi wa kisasa ……nchi inaunga mkono mabingwa wake wa kichezo na mfumo wa kichezo lengo lake ni upatikanaji mazingira mazuri kwa wachezaji.
- 2019-08-19 10:25:26
Dokta Ashraf Sobhy
waziri wa vijana na michezo alisisitiza kwamba nchi hakubahili kwa juhudi
yoyote kuunga mkono mabingwa wake wa kimichezo katika michezo tofauti hasa
wajumbe wa timu ya kitaifa ambao wanaagiza na kuinua jina la Misri juu katika
sheria na tukio tofauti ya kichezo ya bara;dunia na Olimpiki ikiwa kutoka
kuunga mkono ya fedha au mahali .na hilo lilikuwa kupitia na mkutano
uliyofanikiwa na waziri wa vijana na michezo siku ya jumamosi asubuhi na
wachezaji wa Khomasi wachanga wa kisasa kwa timu ya kitaifa na alihudhuria
mwenyekiti wa kamati ya Olimpiki ya kimisri mhandisi Hesham Hatb na mwenyekiti
wa Muungano wa kimisri kwa wachezaji wa Khomasi wa kisasa mhandisi Sherifa
Al-Eryan na wajumbe wa baraza la Muungano(wajumbe wa vifaa vya kifundi na utawala kwa Muungano).
waziri wa michezo
akieleza kwamba kuunga mkono ambaye ilipatia na wizara ya vijana na michezo kwa
Khomasi wa kisasa kwa njia na maandalizi hasa kwa kikao cha kiolompiki nchini
tukio mwaka 2020 kupitia na mwaka huo ilifika kwa bilioni 9 na hii ni zaidi kwa
mwaka uliopita .
Alibainisha kwamba
wizara ina hamu kuunga mkono timu yoyote kupitia na uwezo upatikanaji kupitia
na utawala ambayo inazingatia kwa kanuni za utawala kwa kiakili;kisayansi na
uwazi ambayo inafanya rasilimali ya upatikanaji ni kubwa sana ili tekeleza
malengo hasa kwa kuendelea mfumo kimichezo kuenea msingi ya kufanywa michezo na
kufika kwa kiwangu cha Dunia katika kushinda kwa ubingwa na kupata nishani.
Alisisitiza pia kwamba wajumbe wote wa mfumo wa
kichezo kuanza kwa kilabu na kituo cha vijana na Miuungano ya kichezo na kamati
ya olimbi na wizara ya vijana na michezo zinafanya kwa ajili ya kuunga mkono
bingwa wa kichezo ambaye ni balozi sio kwa mchezo wa kimisri tu bali kwa vijana
wa kimisri ambao wana uwezo inayoandaa kuinua bendera ya Misri;nchi kubwa na
adhimu zaidi ya nchi nyingine katika historia ya utu.
Comments