Msikiti wa kwanza kujengwa barani Afrika.
Ulijengwa mjini Fustat, ulioanzishwa na Waislamu huko Misri
baada ya ufunguzi. Iliitwa pia Msikiti wa Fath, Msikiti wa Kale na Taj
Al-Jwama. Msikiti wa Amr Ibn Al-Aas iko upande wa mashariki wa Nile urefu wa 31
31 59 Mashariki, na kwa latitude 30 0 37 kaskazini.
Ilikuwa markazi ya serikali na kiini cha wito wa dini ya
Kiislamu huko Misri, Amr ibn al-Aass
alijenga mskiti hiyo katika 20 H, sawa na 641 AD,kisha kujengwa jiji la
Fustat, ambalo ni mji mkuu ya kwanza wa Misri, Amr ibn al-Aas alipochagua
msimamo wa msikiti kukielekea juu ya Mto
wa Nile, na ngome ya Babiloni .
Eneo la msikiti wakati wa ujenzi lilikuwa ; upana dhiraa 50 na
urefu dhiraa 30 na lilikuwa na milango sita, ilisalia hivyo mpaka 53 H / 672 AD
ambapo kupanua na kuongezeka eneo lake
na Musallam bin Mukhalid Al Ansari na mkuu wa Misri na kujenga minara minne,
kisha kuendelea na marekebisho na kupanua mikono ya wale waliomtawala Misri
mpaka lilipofika eneo lake ni karibu ishirini na nne dhiraa ya usanifu.
Sasa eneo lake ni ; upana mita 120 na
urefu mita 110.
Na kutumia matofali ya kujenga kuta za msikiti hakuwa na
rangi, bua ya mitende yalitumiwa kwa nguzo na wamba kwa paa, msikiti una
milango kadhaa, lakini hakuna mlango katika ukuta wa Qibla, Msikiti wa Amr ibn
al-Aas uliojengwa kwa mtindo wa Msikiti wa Mtume Muhammad (S.W.A ) huko Madina
kabla ya marekebisho yaliyofanyika; ; ambapo msikiti ulionyesha maadili ya Kiislam
bila udohoudoho au uharibifu, lengo la ujenzi wake kulikuwa na nafasi ya
kulinda wanaoSali kutoka mambo
mbalimbali kama hali ya hewa. Mambo
muhimu zaidi yaliyotendeka kwenye msikiti wa Amr ibn al-Aass utendaji wa wajibu
wa kidini. Inashikiliwa na halmashauri za mahakama, bodi za hadithi. Ilifanyika
vipindi vya elimu, ambavyo vilifikia
idadi vyao katika karne ya nne AH (karne ya kumi) vipindi mia moja na kumi , na imeweka baadhi
ya vipindi hivi kwa wanawake ,Na kuweka mabaraza haya na mhubiri wa wakati wake Um EL-Khair El- Hijaziyah. Wakati wa vita dhidi
ya nchi za Kiislamu kutoka kampeni ya wafuasi wa salibi, hasa katika 564 H
.Waziri Shawar aliogopa kampeni ya wafuasi
wa salibi dhidi ya mji wa Fustat, aliiweka moto kwani hakuwa na uwezo wa
kulinda na kuchomwa mji na kuharibu Msikiti
wa Amr ibn al-Aass. Wakati Salah El-Diin alipounganisha Misri na nchi
yake, aliamuru kujenga msikiti tena katika 568 H, na msikiti ulijengwa tena na
mihrab kubwa, iliyopambwa kwa gololi na kuchonga na miongoni mwa epigrafu Haya ya jina lake (Salah El-Diin ). Mambo haya yalifanya
Msikiti wa Amr ibn al-Aass chuo kikuu cha sayansi ya kale kabisa katika Misri
ya Kiislamu, ambayo tayari ni Al-Azhar miaka 600 iliyopita.
Comments