Abdul Rahman Hamid
golikipa wa timu ya kitaifa kwa mpira wa mikono chini ya umri wa miaka 19,
alishinda tuzo la golikipa bora Zaidi kwenye michuano ya Dunia iiyofanyika huko
Makedonia katika kipindi cha Agosti 6 hadi 18.
Hamid alifanya kazi
kubwa wakati wa mashindano na aliweza kutetea wavu wake wakati wa Kombe la Dunia.
Misri ilishinda Kombe la Dunia baada ya kushinda
juu ya Ujerumani katika mechi ya fainali
na 32-28 , Jumapili jioni.
Comments