Misri ni nchi ya kwanza isiyo ulaya kutawaza kwa kombe la dunia kwa vijana wa mpira wa mikono .
- 2019-08-19 12:01:15
Shirikisho la
kimataifa kwa mpira wa mikono limependekza , kushinda timu ya kitaifa kwa jina
la michuano ya ulimwwngu wa vijana chini ya umri miaka 19 , na hii baadaya
kushinda juu ya timu ya Ujerumani katika mechi ya fainali 32 _28 .
Na pia Shirikisho la
kimataifa limetaja kupitia Tovuti yake ya kielektroniki, kwamba timu ya kimisri
ni timu ya kwanza isiyo ulaya kushinda lakabu la michuano .
lakabu hili
linazingatia jina la kwanza kwa Misri
katika upande wa vijana ,kiasi kwamba
Misri inamiliki lakabu lingine lakini juu ya timu ya vijana na huu ilikuwa
katika mwaka 1993 .
Timu ilifanikiwa
kushinda lakabu la michuano ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza katika
historia ya mpira wa mikono wa kimisri ,kiasi kwamba timu hii ilikuwa kitu
kizuri zaidi ni tano katika kombe la dunia katika mwaka wa 2007 nchini Bahren.
Comments