Misri ni Bingwa wa dunia kwa vijana wa mpira wa mikono baada ya kuishinda juu ya Ujerumani
- 2019-08-19 12:41:52
Timu ya kitaifa kwa vijana wa mpira wa mikono, iliyoongozwa
na kocha Magdy Abou El Magd, ishinda kwa taji la mashindano ya Dunia ,
imeyofanyika huko Makedonia katika kipindi cha Agosti 6 hadi 18, baada ya
kushinda juu ya mwenzake timu ya Ujerumani
32-28.
Nusu ya kwanza
ilimaliza kwa uongozi wa timu yetu 19 -
13, kabla ya timu ya "mashine"
kupunguza toufauti wakati wa nusu ya pili.
Timu yetu ya kitaifa
ilifuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia baada ya kushinda kikwazo cha mwenzake wa
Ureno 41-36, wakati timu ya Ujerumani ilifuzu baada ya kushinda juu ya timu ya
Denmar 31-23.
Timu yetu ya kitaifa
ilifuzu hadi robo ya fainali kwa gharama ya mwenzake timu ya Slovenia na kwa
matokeo "30-23", wakati timu ya Iceland ilifika baada ya kushinda juu
ya timu ya Japan kwa
matokeo"39-34", katika sehemu ya mechi ya raundi ya 16 katika Kombe la Dunia.
Timu yetu iliongoza
Kundi la pili kwenye raundi ya kimandalizi kwa pointi 8, ilipata zao kutoka
michezo minne dhidi ya Sweden, China Taipei, Canada na Hungary, na kupoteza
katika mchezo mmoja dhidi ya Ufaransa, kabla ya kushinda juu ya Slovenia katika
thumuni ya mwisho.
Timu ya kitaifa
ilikuwa imeanza mikutano yake katika mashindano hiyo kwa kushinda juu ya
mwenzake Sweden kwa matokeo 32- 29, kabla ya kushindwa kutoka Ufaransa kwa
matokeo 32- 28, na kisha kushinda juu ya mwenzake Taiwan na kwa matokeo 36-25, na timu yetu
imeshinda juu mwenzake Canada kwa matokeo 47- 20, na hatimaye ushinda juu ta
Timu ya kitaifa ya Hungary kwa matokeo 31 - 24.
Ujumbe umejumisha :
Abdo Abdel Wahab, mwanachama wa baraza la
Wakurugenzi wa shirikisho kama mkuu wa ujumbe, Majdi Abu Al-Majd kama
mkurugenzi wa ufundi, Hussein Zaki kama msaidizi wa kocha , Hamada Al-Rubi
kocha wa golikipa, Mohamed Abdel-Moneim
kama mkurugenzi wa kidara , Omar Essam Tabib, na Mohamed Imam kama wachambuzi
wa utendaji wa kiufundi.
Orodha ya wachezaji
imejumisha : Abdul Rahman Hamid, Moamen Hossam, Mazen Reda, Ibrahim El Sayed,
Omar Attia, Muhab Saeed, Saif Hani, Hassan Qaddah, Ziad Abdel Aal, Mohamed
Samir, Youssef Alaeddin, Youssef Ahmed Hassan, Abdel Fattah Ali, Ahmed Hisham elsayed, Omar Lotfi, na Yasser
Saif.
Comments