Mwenyekiti wa Shirikisho la mpira wa mikono:kutawazwa kwa Jina la michuano ya ulimwengu wa vijana ni tija ya safari ngumu ya kazi.

 Mhandisi Hesham Nasr Mwenyekiti wa baraza la usimamizi wa umoja wa mpira wa mikono. ameonesha furaha yake kwa timu ya vijana waliozaliwa mwaka 2000 kuongozwa na Magdy Abo Almagd meneja wa kifundi iliyoshinda lakabu la ubingwa wa ulimwengu umefanyika sasa hivi katika Makdonia.

 

Nasr amesisitiza kuwa kufikia timu ya vijana lakabu la michuano wa ulimwengu hakuja bure.

 

Muda iliyopita imeshuhudia kufanya shughuli kubwa ama kutoka wanachama wa baraza la usimamizi au kamati ya timu kuongozwa na Alaa Elsayed.

 

Ameongeza kusema kuwa baraza la usimamizi limeangalia kugawa majukumu kwa ajili ya kutimiza mengi kwa haraka. Na wote ndani au nje ya umoja wameahidi kwa uaminifu na kutoa kila kitu Kw ajili ya manufaa ya mpira wa mikono wa kimisri .

 

Timu ya kitaifa ya vijana imeshinda lakabu la michuano ya ulimwengu iliyofanyika kwenye Makdonia baada ya kushindwa timu ya ujerumani katika mechi ya mwisho kwa 28_32

Comments